Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Mtoto mjeuri dawa yake ni viboko tuGod Bless Iran
God Bless True Promise 3
Hiyo Israel ametoa tahadhari kwamba na yeye Israel ataanza kushambulia Teheran hayo majengo ya raia kama Iran anachofanya Tell avivHii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia.
Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni viboko.
View attachment 3369066
Yaani Mayahudi majinga sana , yameanza uchokozi yenyewe, halafu yanawapangia Irani pahala pa kuwapiga.Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia.
Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni viboko.
View attachment 3369066
kwani Hamas October 7 si waliua raia waisrael 1200 wakachukua mateka raia 250 wakabaka raia,wakachoma moto watoto ,wakaua raia wa Gaza ila wafia dini mmekuwa mkilia kuhusu wanawake na watoto wa gaza tu ila alichofanya Hamas October 7 hamkioniHii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia.
Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni viboko.
View attachment 3369066
Unakosea bosi. Wayahudi hawajashambulia raia mkuu. Amelenga vitu vya msingi. Naye Iran alenge vitu vya msingi vya Wayahudi na sio kupiga makazi ya watu.Yaani Mayahudi majinga sana , yameanza uchokozi yenyewe, halafu yanawapangia Irani pahala pa kuwapiga.
Iran Hana jinsi Israel anaweka air defense katikati ya majengo ya raia hata ungekua wewe ungefanyaje? Israel iache mara Moja kuwatumia raia kama ngaoHiyo Israel ametoa tahadhari kwamba na yeye Israel ataanza kushambulia Teheran hayo majengo ya raia kama Iran anachofanya Tell aviv
Israel amejenga millitary facilities katikati ya majengo ya raia, THAAD iko katikati ya makazi ya watuHiyo Israel ametoa tahadhari kwamba na yeye Israel ataanza kushambulia Teheran hayo majengo ya raia kama Iran anachofanya Tell aviv
Hebu shangaa na wewe halafu . Wanaweka silaha katikati ya mitaa yenyewe raia unategemea Iran afanyaje?Yaani Mayahudi majinga sana , yameanza uchokozi yenyewe, halafu yanawapangia Irani pahala pa kuwapiga.
Ushabikiwa wako wa vichochoroni hauwezi badilisha kituEhee kumekucha,hii vita inaelekea kubaya jamani,tupunguze sana ushabiki,tusiwe na upande.
Na anamtwanga kweli kweli. Kimya kimyaAyatollah shikilia hapohapo mpaka huyu shoga atie akili
Israel ameshaua raia zaidi ya 140 wa Iran.Hiyo Israel ametoa tahadhari kwamba na yeye Israel ataanza kushambulia Teheran hayo majengo ya raia kama Iran anachofanya Tell aviv
Sijakosea, Israel ana Iron Dome si rahisi kuwapiga kwenye maeneo yao ya majeshi, halafu huwezi kumpangia mtu akupige wapi si umeanza uchokozi mwenyewe? Halafu ukae ukijua hakuna civilian Israel, wananchi wote wanapata mafunzo ya kijeshi ya lazimaUnakosea bosi. Wayahudi hawajashambulia raia mkuu. Amelenga vitu vya msingi. Naye Iran alenge vitu vya msingi vya Wayahudi na sio kupiga makazi ya watu.
Hahahaha muajemi wa Njinjo umepagawa sio bure. Allah amekupanda kichwani nini?πππIran Hana jinsi Israel anaweka air defense katikati ya majengo ya raia hata ungekua wewe ungefanyaje? Israel iache mara Moja kuwatumia raia kama ngao
Mbona yeye ameua raia zaidi ya 140 aisee??Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia.
Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni viboko.
View attachment 3369066