Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

kwani Hamas October 7 si waliua raia waisrael 1200 wakachukua mateka raia 250 wakabaka raia,wakachoma moto watoto ,wakaua raia wa Gaza ila wafia dini mmekuwa mkilia kuhusu wanawake na watoto wa gaza tu ila alichofanya Hamas October 7 hamkioni
Vita Haina macho tusipangiane sehemu za kupiga Tafadhali. Halafu Israel waache mara Moja kuweka silaha karibu na makazi ya watu. IDF HQ imechakazwa vibaya sana ila tukiangalia vizuri location utaona ipo karibu na residents apartments hata kama ungekua wewe ndio Iran ungefanyaje?
 
Iran Hana jinsi Israel anaweka air defense katikati ya majengo ya raia hata ungekua wewe ungefanyaje? Israel iache mara Moja kuwatumia raia kama ngao
Israel analinda sana raia wake hicho ndicho kitu cha muhimu zaidi kwake tofauti na nchi nyingi za wavaa kobazi,hata haya mashambulizi ni kuwalinda raia wake
 
Unachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.

Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.

Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.

Nadhani umeelewa mkuu.
Kwahiyo kumbe katika vita huwa Kuna taratibu za kupangiana pa kupiga sikuwa najua kabisa by the way Asante kwa elimu
 
Unachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.

Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.

Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.

Nadhani umeelewa mkuu.
Hzo propaganda.....sasa kama adui kaka kwa watu wasio na hatia ndo uwaue wote...!!?

Karma is really.....kama unavyofanya utafanyiwa,ukizika utazikwa na wewe
 
Mungu alivyowaajabu amekuumbua kama wewe ni kobazi ulikua unasema wewe sio kobazi unawalaumu wa Israel kuua raia ila Leo unafurahia raia wa Israel kuuwawa hahaha ogopa sana mungu na Teknolojia ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu🤣🤣🤣🤣
 
20250614_005208.jpg

🔵 Kituo cha Kati: Rabin Camp (IDF HQ)

Hiki ndicho kituo cha kijeshi kilicholengwa na Iran kulingana na madai yao.

Kiko katikati ya mji wa Tel Aviv, kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kiraia.

🔴 Mizunguko ya umbali (radius rings)

Ramani inaonyesha mizunguko ya umbali wa mita 300, 600, 900, 1,200, 1,500, hadi 1,800 kutoka Rabin Camp.

Hii inaonyesha ndani ya kilomita moja na nusu tu, kuna makazi na shughuli nyingi za kiraia.

---

🏙️ Majengo ya kiraia yanayoonekana karibu (ndani ya 1 km):

1. Azrieli Mall – jengo kubwa la biashara na burudani.

2. Tel Aviv Museum of Art – taasisi ya sanaa ya kiraia.

3. Habima Theater – jumba la sanaa la taifa.

4. Rothschild Boulevard – eneo la makazi na ofisi.

5. Dizengoff Square – eneo la kijamii na kiraia.

6. Opera Building, Tel Aviv Town Hall, nk.

🏢 Majengo ya kibiashara na makazi (karibu zaidi):

Tel Aviv Towers, Stock Exchange Complex, Akro Towers, nk – yote ni ya kiraia, na yana watu wengi wa kawaida.
 
Anapigana vita harafu anataka raia wasife kweli pana watu hivyo Duniani aisee kama anaona watu wake wanakufa aachane na vita..
Hawa wanatakiwa wasiingiliwe na mtu....waachwe mtu bee hivi hivi mpk tuone nani atatoa mlio.....story za vita ya siku sita Huwa Kila nikiisoma naona mauzauza Fulani hivi
 
Unachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.

Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.

Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.

Nadhani umeelewa mkuu.
Vita ni vita mura, Israeli aache kulilia vita haina macho, tuliwaambia Iran sio Palestine. Haya alikeni mabwa zenu wasaidie kudungua makombora ya Iran maana Israeli hana uwezo kucheza mziki wa Waajemi.
 
Israel mwenyewe vita anaiweza vizuri sana, toka enzi za kina daudi na yoshua walishapigana vita kibao amani kwao ni mwiko
 
Back
Top Bottom