Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

View attachment 3369118

🔵 Kituo cha Kati: Rabin Camp (IDF HQ)

Hiki ndicho kituo cha kijeshi kilicholengwa na Iran kulingana na madai yao.

Kiko katikati ya mji wa Tel Aviv, kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kiraia.


🔴 Mizunguko ya umbali (radius rings)

Ramani inaonyesha mizunguko ya umbali wa mita 300, 600, 900, 1,200, 1,500, hadi 1,800 kutoka Rabin Camp.

Hii inaonyesha ndani ya kilomita moja na nusu tu, kuna makazi na shughuli nyingi za kiraia.



---

🏙️ Majengo ya kiraia yanayoonekana karibu (ndani ya 1 km):

1. Azrieli Mall – jengo kubwa la biashara na burudani.


2. Tel Aviv Museum of Art – taasisi ya sanaa ya kiraia.


3. Habima Theater – jumba la sanaa la taifa.


4. Rothschild Boulevard – eneo la makazi na ofisi.


5. Dizengoff Square – eneo la kijamii na kiraia.


6. Opera Building, Tel Aviv Town Hall, nk.



🏢 Majengo ya kibiashara na makazi (karibu zaidi):

Tel Aviv Towers, Stock Exchange Complex, Akro Towers, nk – yote ni ya kiraia, na yana watu wengi wa kawaida.
IRAN alifanya makosa makubwa. Ilikua apige mchana wa saa 6 ili dawa iwaingie vizuri.
 
Hadi sasa inaripotiwa raia 140 wa Iran wamefariki majeruhi ni 350+.
Hao Israel kaka sio wa kuwaamini na kuwaonea huruma.
Jana Kuna mole walikua wanapita na suicide drone zikilipua hovyo raia.
Wauaji sana hao Israel.
Hao raia mnaosema ni makamanda pamoja na wana science wanaohusika kwenye vinu vya nyuklia. Mbona taarifa zote ziko wazi
 
Ayatollah shikilia hapohapo mpaka huyu shoga atie akili
Mkianza kupigwa msianze kwenda kulialia UN km Palestina walipoanza Hamas mlichekelea hivyo hivyo walipopelekewa kuni zikasukumwa mpaka cheche zikawaka mnaanza kulia
 
Mungu alivyowaajabu amekuumbua kama wewe ni kobazi ulikua unasema wewe sio kobazi unawalaumu wa Israel kuua raia ila Leo unafurahia raia wa Israel kuuwawa hahaha ogopa sana mungu na Teknolojia ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu🤣🤣🤣🤣
Mimi ni mkatoliki "pure " na kanisani siku hizi siendi ila kupigania Haki za binadamu mwenzako haihitaji kujua dini yake. Nikuulize tu Nyerere alikua muislamu? Mandela je? Hao wote wamepigania Haki za wapalestina
 
Mimi ni mkatoliki "pure " na kanisani siku hizi siendi ila kupigania Haki za binadamu mwenzako haihitaji kujua dini yake. Nikuulize tu Nyerere alikua muislamu? Mandela je? Hao wote wamepigania Haki za wapalestina
Vipi mbona huongelei haki za raia wa Israel waliouwawa kwahiyo wewe haki za binadamu ni Kwa waislamu tu mzee tafakari akili Yako upya jinsi ya kuweza kudanganya watu🤣🤣🤣🤣
 
Unachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.

Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.

Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.

Nadhani umeelewa mkuu.
Vita ni vita ili mradi anaepigwa ni muisrael hata aliezaliwa jana tandika ha walio hospitalini piga
 
Siku 6 walitandika waarabu wte wakashinda....hili jeshi la pampasi Kuna namna walitupanga kwny Ile propaganda....sasa hapa waachwe mtu mbili tu hakuna kuomba msaada...na hakuna kukimbia Mpk kieleweke
Haiwezekani, maana US anaisaidia ISRAEL, kuanzia Silaha, na hata kuintercept Makombora ya Iran, na Leo Trump kasema US itaingia mazima kwenye hiyo VITA.
 
Vita Haina macho tusipangiane sehemu za kupiga Tafadhali. Halafu Israel waache mara Moja kuweka silaha karibu na makazi ya watu. IDF HQ imechakazwa vibaya sana ila tukiangalia vizuri location utaona ipo karibu na residents apartments hata kama ungekua wewe ndio Iran ungefanyaje?
Na iran asiwasche wapumue usiku awatandike tena
 
Give a dog a bad name, so you can kill it...., Huo umekuwa mpango mrefu sana kwenye pipeline ya Benjamin Netanyahu kwahio hapo ni kutafuta justification tu..., lakini analofanya leo litavicost vizazi na vizazi aulize mababu zake na mabibi zake jinsi dunia ilivyokuwa inawachukia na antisemitism mpaka Hitler aka tip the balance on the other side na dunia kuanza kuwaonea symphathy na kupata allies wa kutosha..., huyu Bwana anaharibu yote hayo and in so doing making the world a less safe place...

 
Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia.
Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni viboko.

View attachment 3369066ana
Wewe muislamu wa mchongo jifanye tu kuziba macho. Mashatani wako na kaallah wao ukweli ndiyo huo kutokana na footage tunazopata. Kule Iran tunaona wananchi wakisherehekea mitaani. Huoni hiyo tofauti. Sasa ndio mjue tulichokuwa tumewaambia.
Kuanzia Farao Mpaka Hitler hakuna utawala ambao ulikamia kuliangamiza Taifa la Israel ulibaki salama. Ayatollah ndiyo huyo, mdogo mdogo anaenda kuwa bikira wa 73
Screenshot_20250613_092805.jpg
 
Back
Top Bottom