Iran imejaa mishoga mitupu inakuwaje nchi viongozi wake wanauwawa tu ka mbwa, anga lake adui anaingia tu kutoka, aisee waajemi wapunguze kuwa mapungaAyatollah shikilia hapohapo mpaka huyu shoga atie akili
Iran imejaa mishoga mitupu inakuwaje nchi viongozi wake wanauwawa tu ka mbwa, anga lake adui anaingia tu kutoka, aisee waajemi wapunguze kuwa mapungaAyatollah shikilia hapohapo mpaka huyu shoga atie akili
Mwenzako kashakimbia unamwambia ashikilie bombaAyatollah shikilia hapohapo mpaka huyu shoga atie akili
Kwa jinsi IDF anavyomchakaza Iran ingekuwa lengo lako ni civilian target basi wairan wengi mno mpaka muda wangekuwa wanabikiri tu huko kuzimuHii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia.
Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni viboko.
View attachment 3369066
daah hao jamaa ni wabishi mno waliwahi pigana vita na Iraq miaka mitatu..Kishaomba msaada huko kwa USA,anataka pentagon ikutane kujadili ni namna gani itaivamia iran 😀
Ni fursa kwa Ewura pia kupandisha Tsh 500 na kushusha cents yanaposhuka..Bei ya mafuta itapanda sasa hiv Tanzania
Israel anaamini anaweza kumpiga yeyote kwa ukanda huo kwa hao wakushi ataishi nao sana.Hawa wanatakiwa wasiingiliwe na mtu....waachwe mtu bee hivi hivi mpk tuone nani atatoa mlio.....story za vita ya siku sita Huwa Kila nikiisoma naona mauzauza Fulani hivi
Hizo ni hadithi tu .. Mwenzako sasa anaomba msaadaIsrael mwenyewe vita anaiweza vizuri sana, toka enzi za kina daudi na yoshua walishapigana vita kibao amani kwao ni mwiko
Na mwànmke jeuri dawa yakeMtoto mjeuri dawa yake ni viboko tu
😂😂😂😂Mauzauza gani tena broo!?Hawa wanatakiwa wasiingiliwe na mtu....waachwe mtu bee hivi hivi mpk tuone nani atatoa mlio.....story za vita ya siku sita Huwa Kila nikiisoma naona mauzauza Fulani hivi
Kama ni Iran walipigana na Iraq miaka 8 sio mitatu .daah hao jamaa ni wabishi mno waliwahi pigana vita na Iraq miaka mitatu..
Haiwez lusimama kisa mm na ww kuchagua upande la muhimu ni kuomba dua Muumba mbingu na ardh awake hekima mataifa makubwa waisimamishe mnashabikianila impact kwenye maisha hii vita hamtokuja amini masharik ya kati mnajua umuhimu wake kwa upitushsj wa meli za bidhaa mbal mbal pamoja na mafuta kujà afrika leo kumetibuka haya tuoneEhee kumekucha,hii vita inaelekea kubaya jamani,tupunguze sana ushabiki,tusiwe na upande.
Israel ndio ilianza kuua raia.Na wao wakianza kuua raia msipige kelele
Hizo ni hadithi tu .. Mwenzako sasa anaomba msaada
《》《》《》《》《》《》《》《》《》
Israel has officially requested that the United States join its ongoing operation against Iran, particularly targeting underground nuclear facilities such as the Fordow Fuel Enrichment Plant (FFEP), which the Israeli Air Force does not have the means to effectively strike without “bunker busters” like the GBU-57A/B MOP (Massive Ordnance Penetrator).
View: https://twitter.com/sentdefender/status/1933968430740439388
Waislamu wote wanasema death to Israel kwa hiyo sikushangai na wenzakoIsrael ndio ilianza kuua raia.
Ishaua raia zaidi ya 140.
Iran ndio maana imepata hasira ya kulipiza kisasi kwa raia wao.
Usitumie hiyo kauli kuficha ukweli.Waislamu wote wanasema death to Israel kwa hiyo sikushangai na wenzako
Vile ni vita kati ya Jehova vs AllahUsitumie hiyo kauli kuficha ukweli.
Israel alianza kuua raia wa wenzake,Wacha na yeye aonje joto ya jiwe .
Acha kupotosha wewe.Vile ni vita kati ya Jehova vs Allah
Jote ya jiwe mtu amekuulia viongozi wako wa jeshi kadhaaa
Israel katumia mbinu ya kijeshi ili kesho akishambulia makazi ya raia asilaumiwe kama alivyofanya kazi