Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

Sijakosea, Israel ana Iron Dome si rahisi kuwapiga kwenye maeneo yao ya majeshi, halafu huwezi kumpangia mtu akupige wapi si umeanza uchokozi mwenyewe? Halafu ukae ukijua hakuna civilian Israel, wananchi wote wanapata mafunzo ya kijeshi ya lazima
Aiseeeee kwahiyo hata watoto wamepata mafunzo ya Kijeshi?

Takbiiirrriiiiiiiiii😁😁😁
 
Unachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.

Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.

Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.

Nadhani umeelewa mkuu.
Nakupa mfano mmoja. Shambulio la Iran la kuamkia Jana air defense za Israel zimetokea karibu na makao makuu ya IDF ambayo ipo katikati ya makazi na Iran akashambulia hivi hapo kosa la Irani ni lipi?
Suala la Gaza ni uwongo mtupu tumeshuhudia raia wa kawaida kabisa watoto na wanawake wakishambuliwa na Israel. Sijakuelewa kabisa yani
 
Anapigana vita harafu anataka raia wasife kweli pana watu hivyo Duniani aisee kama anaona watu wake wanakufa aachane na vita..
Unajitoa ufahamu. Kupiga makazi ya watu ndio hoja ya msingi hapo. Israel hadi sasa hajapiga makazi ya watu. Amepiga kwenye target zake za msingi.

Mbona inaeleweka tu jamaa yangu?
 
Unakosea bosi. Wayahudi hawajashambulia raia mkuu. Amelenga vitu vya msingi. Naye Iran alenge vitu vya msingi vya Wayahudi na sio kupiga makazi ya watu.
Vitu vya msingi ni pamoja na watu mkuu. Mbona Israel yeye anajipigia raia yeyote anaeamua hapo middle east? Gaza kaua watoto zaidi ya elf hamsini Tena mpaka kiongozi wa kidini rabbi wao anasisitiza Israel ina uhalali wa kuwaua watoto wa kipalestina. Tuache unafik Kila damu ya mtu asiye na hatia inauma.
 
Unajitoa ufahamu. Kupiga makazi ya watu ndio hoja ya msingi hapo. Israel hadi sasa hajapiga makazi ya watu. Amepiga kwenye target zake za msingi.

Mbona inaeleweka tu jamaa yangu?
Usitumie nguvu kubwa kunijibu vitu vya watoto wa chekechea mazee unaelewa maana ya vita au mpaka mfundishiwe huko shule mwalimu akisahau basi unatembea kama tembo mtoto.
 
Hiyo Israel ametoa tahadhari kwamba na yeye Israel ataanza kushambulia Teheran hayo majengo ya raia kama Iran anachofanya Tell aviv
Kabla ya Iran kuishambulia Israel alianza Israel kushambulia raia wa Iran na kapiga mabomu kwenye Apartment.

Kila sehemu ambayo Israel anapiga na Iran nayo wanapiga exactly hio hio kama unafuatilia hivi vita.

Israel kapiga oil refinery Iran akajibu kalipua haifa refinery, Israel kapiga bandari Iran akajibu, Israel kapiga Apartments Iran akajibu, Israel kapiga makao ya jeshi Iran akajibu kalipua ya Israel etc.
 
Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga
Ndivyo Jewish Zionists walivyotueleza ili wahalalishe kutokomeza new Hamas Generation in the future kwa kuua hadi vitoto! Na ndio hao hao ambao waliiaminisha dunia kwamba Sadam Hussein alikuwa na Weapons of Mass Destructions! Sijui watu ni lini mtatoka usingizini. Au kwavile mshajazwa ujinga na bible version ya Kiyahudi inayosema wao ni Taifa Teule wakati Gospel aliyotuletea Bwana Yesu inatuambia Taifa Teule ni lile lililomkubali Kristo!!
 
Back
Top Bottom