Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

Makamanda 9 ndio raia 80?
Bro hata hesabu unajua kweli?
Je wale 60 waliouliwa jana kwenye mall?
Nao ni makamanda?
Niletee ripoti inayosema Israel imeua makamanda 140 wa Iran.
IDF inatoa hadi rai kwa raia wa Iran wasogee mbali na maeneo ambayo wanataka kushambulia. Israel anapiga kimkakati Iran keshachanganyikiwa anarusha rusha tu makombora
 

Attachments

  • Screenshot_20250615_170135_Instagram.jpg
    204.7 KB · Views: 14
Hapa ni roho ya ayatollah ndio inatafutwa, ikipatikana vita vinaisha asubuhi na mapema.
Wala Ayatollah hatafutwi, wayahudi wanamzoom tu handaki lolote analofichwa ikifika ulazima wa kumrestisha watamtungua kama walivyofanywa makamanda wake.
 
Wala si Dunia ambayo Ina Unafiki bali ni ninyi Wafuga Midevu na Majini mna unafiki mwingi sana Oct 07,2023 Hamas walivamia Israel na kubaka,kuua raia 1,200 na kuteka nyara watu 251 hayo hamuongelei kabisa kwa sababu ya UNAFIKI uliowajaa mioyoni mwenu.

Baada ya Israel kuanza kudai mateka wake warudishwe na magaidi hao kukataa hivyo kusababisha vita kati ya Hamas na Majeshi ya Israel na kwa sababu Hamas ni Magaidi wakiwa wanatumia Hospitali,Shule na nyumba za ibada kufanya ugaidi wao na kuwatumia wanawake na watoto kama Kinga (Human-Shield) kama ilivyo kawaida ya magaidi wengi. Wajinga na wapumbavu kama nyie mnabwabwaja ovyo na kulaumu majeshi ya israel huku mkijititoa ufahamu kutokujua yaliyofanywa na magaidi Oct 07,2023.

Magaidi wa Hamas waliua familia ya Bibas wakamuua Mama na watoto wake wawili Ariel mwenye miaka 8 na Kfri mwenye umri wa miezi 8 mlivyo wanafiki wa kutupwa hao kwenu mnaona waliuliwa mbwa tu Ila waarabu ndiyo binadamu!!!
 
Unanishambulia Mimi mkatoliki mwenzako na kunikashifu kwa chuki za kidini. Lakini Mimi nasimamia utu na Haki za wapalestina. Hiyo oktoba 7 unayoitaja haikuanzia hapo hao wapalestina wamepigania taifa lao kwa zaidi ya miongo 7 kwa hiyo ni muendelezo. Hamas ni wapigania Uhuru wanafaa kuungwa mkono
 
Acha ujinga nani amekuuliza dini yako u katolicki wako inasaidiwa nini? Ujinga huu wa kusema hai kuanzia Oct 07,2023 ni Upumbavu wa Kiwango cha hali ya juu sana.

Unaposema Oct 07,2023 ilikuwa mwendelezo tu una maana Ubakaji,mauaji yaliyofanywa na magaidi wa Hamas siku hiyo ni moja ya upigania uhuru? Siku hizi Ubakaji,Utekaji watu na mauaji ya watu mnaita upigania uhuru?

Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Palestina na haitakuwepo kamwe!!!
 
Kuna mijitu inajipachika majina ya Kikiristo huku ni miislamists ili kuendeleza Taqqya ya uislamist. Maandiko na video za uislamu ziko wazi kabisa kuhusu kile wanachokitaka waislamu. Kufutilia mbali wayahudi toka Jerusalem na Israel yote na baadae kusimamisha world calphate ambapo hii itahushisha kuwasilimisha wakristo na other non Muslims anayekataa maandiko yako wazi-fight them.
Kuhusu Iran, records ziko wazi wamekuwa wakiazimia kuifutilia mbali Israel; on the other hand Israel wala haijawahi kuweka chuki hizo. Baada ya Iran kushindwa azma yake hiyo kupitia proxies wake Hezbollah , Hamas na Islamic Jihad, alikuwa sasa anaharakisha kukamilisha bomb la nuclear ili aliambatishe na makombora yake hayo- hypersonic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…