Watanzania watakua wameuliwa na Israel, maana wale jamaa wanavyo wachukia watu wesi. Waisraili mtu mweusi wanakuona kama mavi, na ukiwa mkristo nadio kabisaa wanakuona ka mbwa jike.hata hamas wanafanya tuamini israel inafanya jambo la msingi sana, kwanini wamekamata watanzania wawili vitoto vidogo vianafunzi tu? wapo mateka hasi asaivi. hawakuangalia hata sura tu kuwa hao ni wandengereko tu sio wayahudi?
Na mtu hawez kuamua tu kuwachoma watu for no reason... Labda angeulizwa why ulowatesa wayahud angekua na sabab zake..Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani.
Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi walio nao kuwaondoka na kujenga utulivu kwao na kwa majirani zake walio mzunguka.
Hivyo hivyo kwa wajerumani baada ya kulazimishwa kutulizwa na wasoviet na wamarekani sasa wametulia tuli.
Israel kwa yale waliyo fanyiwa na Hitler walipaswa kuwa mfano tosha wa jamii ya watulivu, wanaojiheshimu na wanaojitambua ila imekuwa vise versa kwao.View attachment 2797089
Israel kwa nguvu kabisa inataka kuiaminisha dunia kuwa kile alichofanya Hitler kilikuwa sahihi juu yao hii sijui jamii ya watu gani isiyo taka kujifunza.
View attachment 2797091
Hawa watu walipaswa kubadilika kabisa lakini inaonekana ni jamii ya watu isiyotaka kujifunza kwa yale yaliyo wakuta.Now the world can't differentiate between Zionism and Nazism View attachment 2797129
jambo usilolijua ni kwamba, Israel kuna watu weusi pia, waethiopia ambao ni kabila mojawapo la kiyahudi na wapo hadi jeshini. hawawezi kufanya icho kitu kwasababu hadi sasahivi hawajawafikia mateka hata mmoja, kama ulimsikiliza yule bibi aliyeachiwa amesema chini kuna mahandaki mengi sana, na mateka wametenganishwa na kugawanywa kwenye mahandaki kadhaa, na hadi sasaivi israel hajawakuta mateka hata mmoja ili awauwe kama wewe unavyoamini. ni chuki zako tu.Watanzania watakua wameuliwa na Israel, maana wale jamaa wanavyo wachukia watu wesi. Waisraili mtu mweusi wanakuona kama mavi, na ukiwa mkristo nadio kabisaa wanakuona ka mbwa jike.
unamaanisha kwamba wangeacha tu hamas,wateke,waue na wachinje wazee na watoto wasio na hatia au siyo,alafu muwaite hamas ,,mashujaa wa allah,,Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani.
Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi walio nao kuwaondoka na kujenga utulivu kwao na kwa majirani zake walio mzunguka.
Hivyo hivyo kwa wajerumani baada ya kulazimishwa kutulizwa na wasoviet na wamarekani sasa wametulia tuli.
Israel kwa yale waliyo fanyiwa na Hitler walipaswa kuwa mfano tosha wa jamii ya watulivu, wanaojiheshimu na wanaojitambua ila imekuwa vise versa kwao.View attachment 2797089
Israel kwa nguvu kabisa inataka kuiaminisha dunia kuwa kile alichofanya Hitler kilikuwa sahihi juu yao hii sijui jamii ya watu gani isiyo taka kujifunza.
View attachment 2797091
wanaotakiwa kubadilika ni Hamas na wapalestina, kama kipigo kinachotolewaga kila wakati huwa hawajifunzi, na kama hata kipigo wanapokea sasaivi hiki hawatajifunza, basi hawatakuja kujifunza tena.Hawa watu walipaswa kubadilika kabisa lakini inaonekana ni jamii ya watu isiyotaka kujifunza kwa yale yaliyo wakuta.
Hawa Waisrael wanampa nguvu Hitler kuwa kile kitendo alicho fanya alikuwa na sababu na alikuwa sahihi wakati huo.Na mtu hawez kuamua tu kuwachoma watu for no reason... Labda angeulizwa why ulowatesa wayahud angekua na sabab zake..
Labda jamaa ni watu wa ajabu sana.
Labda
Kuna mahali nimezungumzia HAMAS kwenye uzi ?unamaanisha kwamba wangeacha tu hamas,wateke,waue na wachinje wazee na watoto wasio na hatia au siyo,alafu muwaite hamas ,,mashujaa wa allah,,
kama wewe ni mtu mzima, mbona hulaani hamas kuteka watanzania? wangekuwa wametekwa watoto wako wa kuwazaa ungenyamaza kimya? basi kama wewe ni mtu mzima utakuwa mtu mzima ovyo sana.Una mambo ya kitoto sio kila mtu humu mtoto mwenzio
Wabadilike ki vipi ?wanaotakiwa kubadilika ni Hamas na wapalestina, kama kipigo kinachotolewaga kila wakati huwa hawajifunzi, na kama hata kipigo wanapokea sasaivi hiki hawatajifunza, basi hawatakuja kujifunza tena.
Una miaka mingapi dogo ?
Wewe umeshindwa kuandika hilo ?kama wewe ni mtu mzima, mbona hulaani hamas kuteka watanzania? wangekuwa wametekwa watoto wako wa kuwazaa ungenyamaza kimya? basi kama wewe ni mtu mzima utakuwa mtu mzima ovyo sana.
watu wengi wa mlango wako moyoni mwao huwa wanafurahia alichokifanya hitler, hata hapo unaamini hivyo. bahati mbaya sana ni kwasababu ya udini, wala sio humanity. kwenye humanity, hakuna justification ya mauaji whether yamefanywa na myahudi au hamas. wewe unaona yale ya wayahudi tu ndio mabaya yale ya hamas unaona poa tu. utasema una akili hapo au matope kabisa.Hawa Waisrael wanampa nguvu Hitler kuwa kile kitendo alicho fanya alikuwa na sababu na alikuwa sahihi wakati huo.
Bila kubadilika hawa Waisrael Hitler ataonekana alikuwa sahihi sana
Changamoto sana humuKubishana na watu walio brainwashed kama hao ni kupoteza muda wako Mkuu, wenzako wameshamezeshwa kuwa Israel ni Taifa Teule la Mungu,na mwenye kuilaani na yeye amelaaniwa,hata kama Israel na IDF wamebomb hospital church in Gaza wao kwao ni hewala tu,hushindi hiyo battle kamwe.
Israel ndio inawafuga Hama's, hapo Gaza inatakiwa B52 bomber itinduwe mahandaki yote kama alivyofanya Marekani milima ya Torabora Afghanistan.jambo usilolijua ni kwamba, Israel kuna watu weusi pia, waethiopia ambao ni kabila mojawapo la kiyahudi na wapo hadi jeshini. hawawezi kufanya icho kitu kwasababu hadi sasahivi hawajawafikia mateka hata mmoja, kama ulimsikiliza yule bibi aliyeachiwa amesema chini kuna mahandaki mengi sana, na mateka wametenganishwa na kugawanywa kwenye mahandaki kadhaa, na hadi sasaivi israel hajawakuta mateka hata mmoja ili awauwe kama wewe unavyoamini. ni chuki zako tu.
Udini gani unao uzungumzia uliomo kwenye huu uzi ?watu wengi wa mlango wako moyoni mwao huwa wanafurahia alichokifanya hitler, hata hapo unaamini hivyo. bahati mbaya sana ni kwasababu ya udini, wala sio humanity.
Na ukitaka kujua upeo wao ulivyo finyu ni kama hapo Sasa,unataka Hamas wabadilike while IDF wanafanya illegal occupation of Land ya wapelestine Kwa miaka mingi Kwa mtutu wa bunduki,HAMAS wakireact Kwa Hiko walichofanya IDF unawaita magaidi Kwa lipi Sasa,kama hiyo ndiyo definition ya Ugaidi Hiko wanachokifanya IDF ni kipi...Wabadilike ki vipi ?
May be wanataka wapalestine wakae kimya mpaka wapukutike wote.Na ukitaka kujua upeo wao ulivyo finyu ni kama hapo Sasa,unataka Hamas wabadilike while IDF wanafanya illegal occupation of Land ya wapelestine Kwa miaka mingi Kwa mtutu wa bunduki,HAMAS wakireact Kwa Hiko walichofanya IDF unawaita magaidi Kwa lipi Sasa,kama hiyo ndiyo definition ya Ugaidi Hiko wanachokifanya IDF ni kipi...
Wengi ni wajinga,walio kosa exposure na wasiolewe wanazungumzia kitu Gani,unaweza vipi zungumza na MTU ambae anaeshangilia wapelestine wapigwe na WAISRAEL Kwa kuamini kuwa most of Palestinians ni Muslims,means MTU huyo hajui hata kuwa within Palestinian people kuna watu wa Iman zingine pia including wa Iman yake ya ukristo,Sasa huyo MTU SI ni chizi TUH?Changamoto sana humu
Inaumiza sana yaan...nawaangalia wanangu naishia kusema Mungu awapiganieAcha changamoto na matatizo ya dunia yani kabili mimi sio kuleta kizazi katika duniani hii tena katika nchi hii na bara hili ni laana