Boli linatembea
Member
- Dec 21, 2022
- 66
- 167
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houthi, Iran ,makundi mengine Syria, Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo. Wao wanaendesha vipi nchi?
Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al, na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.