sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kinachofanyika huwa ni kupunguza tu wala si kutokomeza kabisa.
Vikundi vya kigaidi kama Hamas vimekuwa ni Neema kubwa mno kwa Israel, Kwa teknolojia na uwezo wa kijeshi alionao Israel endapo akiamua kumaliza kikundi kama Hamas ni suala la siku kadhaa tu lakini hawezi kuthubutu kufanya hili, akijaribu atakuwa kajipiga risasi mguuni.
Hamas wamefanya iwe ngumu kuwepo kwa taifa huru la Palestina, kwa Israel ni heri kupigana na wanamgambo wa Palestina kuliko Palestina ije kuwa nchi yenye jeshi imara litalojaza wanajeshi maprofessional,
Hamas wamefanya waisrael wawe na umoja sana, hata haiwezi kutokea waisrael kuanzisha vita za ndani kwa ndani kubwa kwasababu wanajua tayari Palestina yupo standby mda wowote akipata mwanya tu anajaribu kurusha roketi zake, hii imefanya waisrael kuzidi kuwa na umoja watake wasitake, ni kawaida hata watu wawili wenye ugomvi wakiwa kwenye tatizo watakuwa wamoja ili kuondokana na tatizo.
Hamsa wamefanya Israel liwe taifa lenye kuumiza vichwa kutatua matatizo na kuendelea kufaidika kwa wanavyogundua, Leo hii Israel wana silaha zenye teknolojia za hali ya juu mno na wanaziuza kwa mataifa mengine, Leo hii Israel wanajilisha chakula na kuna maji salama ya kutosha licha ya ardhi kuwa na jangwa kubwa, Leo hii israel makampuni mengi yana ofisi zao huko kwajili ya ubunifu.