Unajua hawaangalii mambo kwa uhalisi, wanaangalia kwa ushabiki. Israel kama sio kutumia sababu ya kupigwa na kutekwa watu wake na Hamas angekuwa na sababu ipi kuingia Palestine? Kapata sababu na agenda yake ni kuongeza maeneo zaidi, wanaua wa palestine na kuharibu miundombinu yote, na ndio case aliyofungua South Africa huko ICJ. Sasa akhy zangu wamekalia ushabiki wakati wapalestina huko wamalaki wanakufa. Sasa hivi hakuna hospitali yeyote inafanya kazi, hakuna umeme, hakuna chakula. Halafu mtu anasema Israel wamewashindwa Hamas, wakati uharibu wanaufanya ni mkubwa na lengo la sio Hamas ni ardhi.