Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
Lakini Kikao kilikuwepo na walikaa na Magaidi...?ilikua zuga ya kisiasa tu ili kuwapoza raia wa Israeli, ndio maana baada ya Saa 72 kupita kipigo kiliendelea
Amaa š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Kikao kilikuwepo na walikaa na Magaidi...?ilikua zuga ya kisiasa tu ili kuwapoza raia wa Israeli, ndio maana baada ya Saa 72 kupita kipigo kiliendelea
Lakini Kikao kilikuwepo na walikaa na Magaidi...?
Amaa š¤£
Kikao gani?! Ulishawahi kuona wapi Netanyahu anakaa meza moja na hamasLakini Kikao kilikuwepo na walikaa na Magaidi...?
Amaa š¤£
Hapa una kamba nyingi unatufunga aiseeUnajua hawaangalii mambo kwa uhalisi, wanaangalia kwa ushabiki. Israel kama sio kutumia sababu ya kupigwa na kutekwa watu wake na Hamas angekuwa na sababu ipi kuingia Palestine? Kapata sababu na agenda yake ni kuongeza maeneo zaidi, wanaua wa palestine na kuharibu miundombinu yote, na ndio case aliyofungua South Africa huko ICJ. Sasa akhy zangu wamekalia ushabiki wakati wapalestina huko wamalaki wanakufa. Sasa hivi hakuna hospitali yeyote inafanya kazi, hakuna umeme, hakuna chakula. Halafu mtu anasema Israel wamewashindwa Hamas, wakati uharibifu wanaufanya ni mkubwa na ndio lengo wala sio Hamas wala mateka.
Suala la October 7 sio la false flag operation,hapa ndugu unatudanganya.Zinaitwa False Flag Operations. Hata September 11 walikufa wamarekani wengi sana. Hao waovu hawaoni tabu kuua watu wao kwa kile wanachokiita 'a greater good'. Sijui unaelewa ninachosema au mambo magumu haya
KIla kinachoingia Palestina , Israel anajua na anaamua kipi kiingie na kwa kiasi gani, iwe silaha iwe pesa. Hii ni kwa usalama wake haihitaji akili kubwa kuelewa hilo.Suala la October 7 sio la false flag operation,hapa ndugu unatudanganya.
Kwahiyo unataka kusema Israel ikawakodi waarabu waue raia na wanajeshi na wateke mateka???
Kufeli kwa intelijensia kupo na kushatokea katika mataifa mengi makubwa kuliko Israel.KIla kinachoingia Palestina , Israel anajua na anaamua kipi kiingie na kwa kiasi gani, iwe silaha iwe pesa. Hii ni kwa usalama wake haihitaji akili kubwa kuelewa hilo.
Sasa unafikiri hao hamas silaha wanapata wapi kwa njia ipi? Au wangeweza kirahisi hiyo October 7 kufanikiwa na Israel kwa uwezo wake wa intelijensia na ulinzi asiweza kugundua. Jiongeze
Kufeli kwa intelijensia kupo na kushatokea katika mataifa mengi makubwa kuliko Israel.
Hamas silaha zipo zilizopitia Rafah maana Rafah alikua aki control Egypt ndio maana vita ilipolipuka wakasema na misaada inayopitia Rafah pia ichunguzwe kusije onekana silaha,zipo silaha zinazotengenezwa na wenyewe Hamas na zipo silaha zinazosemekana kuwa zilishikiliwa kutoka maghala ya zamani ya IDF ya millitary post ndani ya Gaza.
Embu jisikilize we jamaa,yani Israel akae atulie aamue raia na wanajeshi wafe kisa kuivamia Gaza??!!
Mbona Jenini na Ramallah anabomoa nyumba kila mwaka na kufanya fujo na hakuna sababu anayoitoa wala kuisema??
Hizi conspiracy zinawapeleka shimoni.
Kuna uwezekano wa askari wa miguu wa Hizbullah kuanza kuingia ndani ya Israel kurudisha maeneo.Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali sana siya rocket wala ya Drone hali ni tete sana! tazama sasa hivi Live Hapa Kichapo wanachopewa wayahudi siyo cha mchezo!