Israel inazidi kupoteza ushindi katika mipaka ya Lebanon Kichapo ni cha Moto!

Hapa una kamba nyingi unatufunga aisee
 
Zinaitwa False Flag Operations. Hata September 11 walikufa wamarekani wengi sana. Hao waovu hawaoni tabu kuua watu wao kwa kile wanachokiita 'a greater good'. Sijui unaelewa ninachosema au mambo magumu haya
Suala la October 7 sio la false flag operation,hapa ndugu unatudanganya.
Kwahiyo unataka kusema Israel ikawakodi waarabu waue raia na wanajeshi na wateke mateka???
 
Suala la October 7 sio la false flag operation,hapa ndugu unatudanganya.
Kwahiyo unataka kusema Israel ikawakodi waarabu waue raia na wanajeshi na wateke mateka???
KIla kinachoingia Palestina , Israel anajua na anaamua kipi kiingie na kwa kiasi gani, iwe silaha iwe pesa. Hii ni kwa usalama wake haihitaji akili kubwa kuelewa hilo.
Sasa unafikiri hao hamas silaha wanapata wapi kwa njia ipi? Au wangeweza kirahisi hiyo October 7 kufanikiwa na Israel kwa uwezo wake wa intelijensia na ulinzi asiweza kugundua. Jiongeze
 
Kufeli kwa intelijensia kupo na kushatokea katika mataifa mengi makubwa kuliko Israel.
Hamas silaha zipo zilizopitia Rafah maana Rafah alikua aki control Egypt ndio maana vita ilipolipuka wakasema na misaada inayopitia Rafah pia ichunguzwe kusije onekana silaha,zipo silaha zinazotengenezwa na wenyewe Hamas na zipo silaha zinazosemekana kuwa zilishikiliwa kutoka maghala ya zamani ya IDF ya millitary post ndani ya Gaza.
Embu jisikilize we jamaa,yani Israel akae atulie aamue raia na wanajeshi wafe kisa kuivamia Gaza??!!
Mbona Jenini na Ramallah anabomoa nyumba kila mwaka na kufanya fujo na hakuna sababu anayoitoa wala kuisema??
Hizi conspiracy zinawapeleka shimoni.
 
 
Kuna uwezekano wa askari wa miguu wa Hizbullah kuanza kuingia ndani ya Israel kurudisha maeneo.
Askari wa Israel wiki mbili zilizopita walilalamika kuwa hapo walipo wapo hatarini kwani wamezingirwa na Hizbulah kwa nyuzi 270.Na wakifanikiwa hilo hizbulah ndio hali itakuwa tete zaidi Israel hawataweza kurudisha eneo hilo kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…