Israel ingeachwa yenyewe one vs one na Hamas ingepigwa!

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,351
Reaction score
9,838
Wakuu salaam!

Nimeijifunza kidogo Israel, uwezo wake kiteknoloji, uwezo wake kiintelijensia, uwezo wake kiuchumi na structure ya uongozi wake!

Kwanza nianzie mwisho.. Huwezi niamini ila ukitafuta taarifa utaona, ISIS, Hamas, Hezbollah wana stable structure za uongozi compared to Israel.

Israel ni taifa la 'kufikirika' / a state create in myth..
Najua waliyopitia nyuma kihistoria na hasa Chini ya Hitler
That didn't make them a superior race.. just a tragic experience..

Wao wamejitanabaisha Kama watu wenye uwezo mkubwa wa kiintelijensia, sio kweli!
Ni kwasababa propaganda machine yao inafanya kazi vizuri ndio maana wanaonekana wanavyoonekana!

Iangalie Gaza kwenye ramani..all surrounded!
Toka vita ilipoanza Hamas hajapata supply yoyote..
Kumbuka wanaitwa wanamgamba, it's not a regular army..

Imekuwaje Hawa magwiji wa kiintelijensia, knowing kwamba Hamas is their immediate threat, wakawa outsmarted kiasi hicho?

Hawa jamaa mikwara mingi ila ni wa kawaida sana!
Kama sio US wangekua kwenye dust bin long time
 
Endelea kuota.
 
Nilijua ungeweka fact ila umeandika kama unapiga story kwenye kijuwe cha kahawa umeshindwa kutambua huku jf kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa wa kung'amua mambo.
 
Mantiki yako ni ipi kwani?

Mwingine anaweza kudai kwamba Hamas wangetumia makombeo tu huku Israeli wakitumia mijegeje yao ya kisasa, Hamas wangepigwa kama ngoma.

My point is that wishful thinking and empty fantasies are just that - empty optimism.

Ni upuuzi mtupu kulilia msaada dhahania wa kufikirika tu ambao hauwezekani.

Tuwatakieni amani raia wa Israeli & Palestina, badala ya kuzungumzia umwagaji damu.
 
Wakuu salaam!

Nimeijifunza kidogo Israel, uwezo wake kiteknoloji, uwezo wake kiintelijensia, uwezo wake kiuchumi na structure ya uongozi wake!

Kwanza nianzie mwisho.. Huwezi niamini ila ukitafuta taarifa utaona, ISIS, Hamas, Hezbollah wana stable structure za uongozi compared to Israel.

Israel ni taifa la 'kufikirika' / a state create in myth..
Najua waliyopitia nyuma kihistoria na hasa Chini ya Hitler
That didn't make them a superior race.. just a tragic experience..

Wao wamejitanabaisha Kama watu wenye uwezo mkubwa wa kiintelijensia, sio kweli!
Ni kwasababa propaganda machine yao inafanya kazi vizuri ndio maana wanaonekana wanavyoonekana!

Iangalie Gaza kwenye ramani..all surrounded!
Toka vita ilipoanza Hamas hajapata supply yoyote..
Kumbuka wanaitwa wanamgamba, it's not a regular army..

Imekuwaje Hawa magwiji wa kiintelijensia, knowing kwamba Hamas is their immediate threat, wakawa outsmarted kiasi hicho?

Hawa jamaa mikwara mingi ila ni wa kawaida sana!
Kama sio US wangekua kwenye dust bin long time
Subiri tuone wayahudi wa bonyokwa watalipokeaje hili andiko lako japo lina ukweli mkubwa ndani yake.
 
Ingeachwa peke yake ungepiga mabomu mazito mazito.. je ulipendelea Vita ilipoanza? Maana bom moja lilikuwa linakalisha na kuacha kreta mitaa karibu 50 jiran... Marwkani ameingilia kati kuwauzia mabomu madogo madogo. Na ndie aliyesababisha kuisha vita... plan ya Israel ilikuwa ni mwezi wiki mbili tu no misaada, na maji, no umeme, no Internet yaani Hamas na Islamic jihad wangenyoosha mikono
 
Nilijua ungeweka fact ila umeandika kama unapiga story kwenye kijuwe cha kahawa umeshindwa kutambua huku jf kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa wa kung'amua mambo.
Sasa Facts ziko all over, labda uniambie haujui zilipo nikudirect, sikuona sababu ya kufanya copy and paste ya numbers ambazo ukijigeuza google zipo, hapa JF zipo, Instagram zipo, Blumberg, Economist, CNN, Aljazeera, BBC, Reuters...kote huko zipo.
Nadhani huyo unayesema ana uwezo mkubwa atakuwa ameshaziona
 
Mantiki yako ni ipi? Mwingine anaweza kudai kwamba Hamas wangetumia makombeo tu huku Israeli wakitumia mijegeje yao ya kisasa, Hamas wangepigwa.

My point is that wishful thinking and empty fantasies are just that - empty optimism.

Ni upuuzi mtupu kulilia msaada dhahania wa kufikirika tu ambao hauwezekani.

Tuwatakieni amani raia wa Israeli & Palestina, badala ya kuzungumzia umwagaji damu.
War situation is a paradigm, a multilayerd situation...there are many ways of looking at it...
So ukiangalia one side of the paradigm at one time, doesn't mean huwezi kuangalia the other side at another time
 
Ni sawa na kusema panyarodi wanawazidi nguvu police.
Makundi ya kigaidi sio jeshi hayana uwezo wa kwenda front kupambana na jeshi lolote makundi yote ufanya mashambulizi ya kustukiza ( timing) na sio uwezo wa kupigana.
Hakuna kundi lololote la kigaidi linaweza pambana na jeshi kwa hata masaa matatu.
Makundi yote ushambulia kisha utokomea.
 
Wakuu salaam!

Nimeijifunza kidogo Israel, uwezo wake kiteknoloji, uwezo wake kiintelijensia, uwezo wake kiuchumi na structure ya uongozi wake!

Kwanza nianzie mwisho.. Huwezi niamini ila ukitafuta taarifa utaona, ISIS, Hamas, Hezbollah wana stable structure za uongozi compared to Israel.

Israel ni taifa la 'kufikirika' / a state create in myth..
Najua waliyopitia nyuma kihistoria na hasa Chini ya Hitler
That didn't make them a superior race.. just a tragic experience..

Wao wamejitanabaisha Kama watu wenye uwezo mkubwa wa kiintelijensia, sio kweli!
Ni kwasababa propaganda machine yao inafanya kazi vizuri ndio maana wanaonekana wanavyoonekana!

Iangalie Gaza kwenye ramani..all surrounded!
Toka vita ilipoanza Hamas hajapata supply yoyote..
Kumbuka wanaitwa wanamgamba, it's not a regular army..

Imekuwaje Hawa magwiji wa kiintelijensia, knowing kwamba Hamas is their immediate threat, wakawa outsmarted kiasi hicho?

Hawa jamaa mikwara mingi ila ni wa kawaida sana!
Kama sio US wangekua kwenye dust bin long time
Hamas na hezbollah wanapata msaada kutoka kwa iran na nchi zingine za kiarabu na pia haya makundi ya kigaidi wanapigana vita wamevaa nguo za kiraia halafu silaha zao na maficho yao ni maeneo ya raia kwa hiyo inatoa wakati mgumu kwa jeshi unaweza kushambulia raia maana hawa mgambo wanapigana kwa kuvizia na kujificha nyuma ya raia
 
Mataifa yote ya kiarab yanaogopa kutia mguu Israel, unafikiri ni mchezo. Israel angetumia ukatili, Gaza ingesagwa wk 2 tu. Wewe unafikiri nchi kama Egypt, Syria, Lebanon, Jordan, Saudi Arabia, Iran, Iraq ni wajinga kutoishambulia Israel. Wanafahamu mziki wake
 
Sasa ndio muda wa kuisaga wiki mbili mzozo uishe anakubali vipi kupoteza wanajeshi wote hao na wengine walemavu? Acheni kumdanganya ni taifa la Mungu huku watu wake wanateseka pia UK US wao wanakula bata na kutuma vi dola 50 watoto wa wazayuni wafe. Husikii wameanza kugoma kuingia jeshini
 
Back
Top Bottom