Israel ingeachwa yenyewe one vs one na Hamas ingepigwa!

Israel ingeachwa yenyewe one vs one na Hamas ingepigwa!

Ingeachwa peke yake ungepiga mabomu mazito mazito.. je ulipendelea Vita ilipoanza? Maana bom moja lilikuwa linakalisha na kuacha kreta mitaa karibu 50 jiran... Marwkani ameingilia kati kuwauzia mabomu madogo madogo. Na ndie aliyesababisha kuisha vita... plan ya Israel ilikuwa ni mwezi wiki mbili tu no misaada, na maji, no umeme, no Internet yaani Hamas na Islamic jihad wangenyoosha mikono
Usrahell ile iloshinda vita ya siku sita inaishangaa usrahell hii inayochemka vita mwaka mzima
Usrahell ya holiwudi ni kali kwel kwel kuliko hiii
 
Hii vita imeisumbua Israel kwa sababu inabidi achambue wapiganaji ndani ya raia, na hakuna vita ngumu kama hii. Ikiwa ni total war, wiki tu Israel anasagisha Palestina nzima.
Sio kuchambua wapiganaji tu hii vita usrahell kachambua mpaka karanga na haitakaa ishinde dhidi ya hama na vidume wengine
Ushindi wao labda niule alousema mchambuzi wetu T14 Armata kwamba ghaza imegeuka vifusi kama vifusi ndio kushinda vita usrahell iliishashijda tokea october
 
Sasa kama hizo fact zipo ulileta bandiko lako huku la nini si ungetuambia tuingie Google tukasome. Umekuja kuleta porojo huku jukwaani unadhani wote huku ni wanywa kahawa. Hivi unajua hiyo Marekani yenyewe unayoizungumzia karibu kila sehemu inayohitaji akili kubwa imekamatwa na hao wayahudi unaodai sio lolote sio chochote. Sipo hapa kutetea watu ila kama watu wamekuzidi akili hata kama huwapendi inabidi ukubali tu hakuna jinni. Sasa nikuambie tu ufahamu Israeli hailindwi na Marekani au washirika wake kama unavydhani bali inalindwa na wayahudi ambao wametapaka karibu Ulaya yote na dunia nzima na wanaushawishi mkubwa wa kifedha na wakisiasa ziwe za nchi au za kidunia na ndio maana huwezi sikia taiga lolote likivaimia Israeli japo yupo katikati ya maadui badala yake vinatumika vikundi ambavyo ni ngumu mno kudeal navyo maana hujichanganya na raia.
Mnapenda kuropoka halaf munajikuta munajuuua wenyewe
Juzi tu hapa wakati iran inapeleka vyuma kule usrahell unajua mataifa yapi yalosaidia kuzuia baadhi ya vyuma vya Iran kumtwanga mzayuni wa holiwudi
Israhell uwezo wake upo kwenye media na story za kutunga waliweza kwenda kuokoa watu eti entebe kule maelfu ya km
Ila wameokoa watu wanne tokea october mpaka leo hapo jirani yao 🤔😀🤔
 
Ukitaka kuielewa Israel weka Uislam pembeni kwanza! Usiwe mshabiki wa upande wo wote!
Naukitaka usiielewe usrahell uweke ulokole na ukristo pembeni huwezi ukaielewa usrahell
Maana utajiuliza iliokoa mateka entebbe maelfu ya km ila imewaokoa mateka wanne hapo jirani kwa miezi tisa
Wafanya hesabu wanatukumbusha itaichukua usrahell miaka 20s kukomboa mateka wao wote waliopo hapo jirani yao
Vua ukristo na ulokole ulokua nao uone mbali juu ya usrahell
 
Kwahio unaota kwamba iran hata endelea kusapoti hao wanaume washoka?
Iran itaendelea kuwapa sapoti wanaume wa maana ili waweze kuwatwanga wazayuni wa holiwudi
Aendelee tuu,kuna siku wataenda kupiga cheers na rais Raisi.
 
Back
Top Bottom