Unajua what happened kwenye vita ile hadi israel akapata ushindi wa mezani? Wamshukuru traitor mfalme wa morocco ambaye aliahidiwa vitu vingi ikiwemo northern saharaEndelea kujidanganya, soma historia ya vita ya israel na misri & syria
Umesoma report ya vita kati ya israel na hezbollah 2006 hadi marekani akaenda kuomba ceasefire UN? Nenda kasome uone hawa jamaa zako taifa teule walivyokuwa weupe ingia american army forces library utapata full details ndugu zako walivyoaibika
Unajua kwamba irone dome ambayo ndio tegemeo la israel imeshakuwa dhaifu na marekani wanalijua hilo ndio maana wanamwambia huyu mjinga netanyahu kwamba kwa sasa hatoweza vita atulie wajipange ,hadi mageneral wa jeshi la israel wameshaanza kumgeuka na kumpinga netanyahu hadharani
Hallevi jana kamwambia netanyahu publicly hizi habari za kuimaliza hamas zimefail na haziwezekani, netanyahu kaitisha press na kumjibu ,ingawayeye mtoto wake yupo marekani huku wanajeshi wanazidi kufa kwa ujinga wa mtj mmoja, ndio maana gantz aliresign kwa ujinga huu