Israel ingeachwa yenyewe one vs one na Hamas ingepigwa!

Usrahell ile iloshinda vita ya siku sita inaishangaa usrahell hii inayochemka vita mwaka mzima
Usrahell ya holiwudi ni kali kwel kwel kuliko hiii
 
Hii vita imeisumbua Israel kwa sababu inabidi achambue wapiganaji ndani ya raia, na hakuna vita ngumu kama hii. Ikiwa ni total war, wiki tu Israel anasagisha Palestina nzima.
Sio kuchambua wapiganaji tu hii vita usrahell kachambua mpaka karanga na haitakaa ishinde dhidi ya hama na vidume wengine
Ushindi wao labda niule alousema mchambuzi wetu T14 Armata kwamba ghaza imegeuka vifusi kama vifusi ndio kushinda vita usrahell iliishashijda tokea october
 
Mnapenda kuropoka halaf munajikuta munajuuua wenyewe
Juzi tu hapa wakati iran inapeleka vyuma kule usrahell unajua mataifa yapi yalosaidia kuzuia baadhi ya vyuma vya Iran kumtwanga mzayuni wa holiwudi
Israhell uwezo wake upo kwenye media na story za kutunga waliweza kwenda kuokoa watu eti entebe kule maelfu ya km
Ila wameokoa watu wanne tokea october mpaka leo hapo jirani yao 🤔😀🤔
 
Ukitaka kuielewa Israel weka Uislam pembeni kwanza! Usiwe mshabiki wa upande wo wote!
Naukitaka usiielewe usrahell uweke ulokole na ukristo pembeni huwezi ukaielewa usrahell
Maana utajiuliza iliokoa mateka entebbe maelfu ya km ila imewaokoa mateka wanne hapo jirani kwa miezi tisa
Wafanya hesabu wanatukumbusha itaichukua usrahell miaka 20s kukomboa mateka wao wote waliopo hapo jirani yao
Vua ukristo na ulokole ulokua nao uone mbali juu ya usrahell
 
Kwahio unaota kwamba iran hata endelea kusapoti hao wanaume washoka?
Iran itaendelea kuwapa sapoti wanaume wa maana ili waweze kuwatwanga wazayuni wa holiwudi
Aendelee tuu,kuna siku wataenda kupiga cheers na rais Raisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…