100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Free PalestineIsrael has destroyed the tower block housing Al Jazeera and the Associated Press news agency in Gaza.
They are doing this for one reason - to stop the truth being known about their assault on the Palestinian people. Share this and show the truth!
View attachment 1786517
Nimeandika nikiwa naendesha gari kwa hasira tu..Kuandika tu kwa usahihi kunakushinda, halafu unathubutu kuniita mjinga?
Ni wazi hujui maana ya ujinga ni nini!
Sina hata haja ya kuvipangua viroja vyako kwa kutumia hoja!
Ukisikiliza news kutoka kwa Muwaqwama utaona Israel hawafai... Kuna kitu kinaitwa human shield ndio Hamas wanatumia now maana washachoka so hiyo ni mbinu yao kitambo ilifika wakati wanaweka picha za zamani za watoto waliouwawa kuihadaa dunia.. Israel anapiga popote pake ndani ya gaza as long rocket zimerushiwa eneo hilo... Tizama hata news live barrage za rockets zinaonesha zinarushiwa katikati ya Gaza so unataka Israel akae kimya tu... hao Hamas wamlilie Iran kuwachonganisha alafu msaada wa chakula anatoa Morocco Iran kanuna kama sio yeye analia lia tu huku akiwasifu Hamas kwa hadaaMissile 1 ya Irone dome ni $50,000 - $80000 na hii ndicho kinachopelekea irone dome kuwa lauched pale tu wanapoona rockets zinaeleka kwenye populated area.
Sasa Hamas wamerusha kombora zaidi ya 3000, na bado wanaendelea kuzirusha, Israel haipo tayari kwa hili, tayari wanapiga majengo mbali mbali kama kuzuia hamas kuendelea kurusha rockets.
Picha safi tu hizo... maana zimepigwa na watu wa propaganda so hazina uhalisia kimaanishwaji yaani fix tu kamba... jengo lililobomolewa linawaanika wanafiki waongo wa habariMniwie radhi kwa kuweka picha hizi.
Unaendesha gari huku unaandika? GTFOH!Nimeandika nikiwa naendesha gari kwa hasira tu..
Mpumbavu sababu huna hoja zaidi ya ushabiki kwa waandishi kama wa Aljazeera mnaacha fact mnakimbilia ungese... yaani habari mnaleta as if Israel anapigana yake yake...
Hamas ni wanamume wa shoka hasa.Ni heri uwe na ujasiri ulio na gharama kuu kuliko uoga usio na gharama!
Against all odds…Hamas wanapambana na jeshi la Marekani kupitia Israel!
Nuff respect to them.
Wanaume wa Dar wakisikia tu maneno ‘Panya Road’, wanakimbia!
🤣
Mjinga na muongo huishiwa maneno nakushauri katizame Aljazeera na Presstv umezeshwe sumu uje tena kuandika uharo wakoUnaendesha gari huku unaandika? GTFOH!
Usilete visingizio. Huna hoja!
Mkuu,unaeleweka sana point yako,iko very clear.Ila anachosema FRANC THE GREAT ni kwamba..Takita nchi zote kubwa unazozifahamu wewe,hakuna yenye uhalali(Credibility) Ya kuikemea Israel inachofanya,kwa sababu hizo hizo nchi pia zimeshawahi ku commit atrocities hapo nyuma in the name of kujilinda na kulinda maslahi yake,Tukianza na Russia ilishaua watu sana kule Chechnya na Georgia sana tu,Mjerumani nae alishaua sana wayahudi mwaka 1945,Mchina naye alishaua sana Raia wake kama unakumbuka Tiananmen Square Massacre,Muingereza naye alishaua watu Iraq na kwenye vita Fork land,Marekani ndio usiseme achilia mbali na WH kuwa controlled na Zionist tycoons.Ndio maana unaona hakuna nchi iko serious kukemea huu mgogoro kwa nia njema...Maslahi ya uhai wa binadamu wasio na hatia hayana mjadala!
Hata sheria za kimataifa zinalitambua hilo.
Uhai wa binadamu kwanza, halafu mengine ndo yanafuatia.
Huwezi kuhalalisha ukiukwaji wa haki na uhai wa binadamu kwa kisingizio cha maslahi yako.
Unashangaa nini The Boss . Kama Leo waTz hao hao tena wafuasi wa Ccm wanashabikia u dictator popote ulipo duniani ?!Enzi za Nyerere tulikuwa na msimamo wa kitaifa wa wa kusimamia haki..
Leo unakuta mtanzania ana support Israel.. shame
@Nyani Ngabu wewe pamoja na exposure yoote uliyonayo . Huo kuwa hao wanamgambo wa ki Filisti wanalianzisha, kwa kuanza kurusha viroketi kuelekea Israel. Wakikaa bila kurusha viroketi wanapoteza nini ?!. Unamchokoza mwenye nguvu. Ukianza kupigwa unalia mwano !!Israel bila Marekani haina chochote!
Biden…huyo Democrat mpenda amani asiye mbaguzi wa rangi, dini, wala jinsia…yeye kama kiongozi wa taifa kubwa linalolikingia kifua Israel, kwa nini aachie huu unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina uendelee?
Leo nimeona kuna kabinti kameokolewa kutoka kwenye jengo lililopigwa mabomu na hao wahalifu wa Israel. Imeniuma sana.
Lakini unajua nini…fcuk Biden!
Hawezi kumfokea huyo Netanyahu na kumwambia akome huo unyama wake?
Wachina na Warusi kwa nini wanaachia huu uhalifu uendelee? Au hawana ubavu kama wanavyodai?
Massive big up kwa Hamas. Ujasiri wao nauheshimu sana.
Hamas huwa hawaanzishi Vita Ila huwa unatafuta sababu watu watu wapigwe na waporwe ardhiHamas started this war!! I am wondering why you are not blaming them instead your spreading propaganda against Israel??
Israel bila Marekani haina chochote!
Biden…huyo Democrat mpenda amani asiye mbaguzi wa rangi, dini, wala jinsia…yeye kama kiongozi wa taifa kubwa linalolikingia kifua Israel, kwa nini aachie huu unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina uendelee?
Leo nimeona kuna kabinti kameokolewa kutoka kwenye jengo lililopigwa mabomu na hao wahalifu wa Israel. Imeniuma sana.
Lakini unajua nini…fcuk Biden!
Hawezi kumfokea huyo Netanyahu na kumwambia akome huo unyama wake?
Wachina na Warusi kwa nini wanaachia huu uhalifu uendelee? Au hawana ubavu kama wanavyodai?
Massive big up kwa Hamas. Ujasiri wao nauheshimu sana.