Israel is committing War Crimes

Mkuu nipate kusema,nimejifunza mambo mengi sana kwenye bandiko lako hili...
 
What’s wrong with my exposure? Kwamba nisipokubaliana nawe basi mimi ni mshamba kwa sababu nina exposure lakini nikikubaliana nawe ndo ninakuwa nina exposure nzuri?

Kwa hiyo hao wanamgambo waliamka tu siku moja wiki iliyopita halafu wakaambiana ‘ee bana eeh…hebu turushe hivi viroketi vyetu kwa hawa Wayahudi huko Israel halafu tuone watafanya nini’.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa? Yaani hao mgambo wa Hamas walirusha tu hivyo viroketi vyao huko Israel bila sababu yoyote ile?
 
Reactions: BAK
Hivi unaanzaje kuunga mkono na mauaji wanayofanya hawa jamaa eti wanasema ni taifa la MUNGU daah!!
Mbongo huwezi kumtoa kwenye hii imani. Yupo indoctrinated to the core. Mbongo kumwambia waisrael ni binadamu wa kawaida kama ww anaweza akapigana na ww usiku kucha. Washazama kwenye huo mtazamo. Kuwatoa ni mpaka waone tangible impact
 
Mlokole
 
Mbona hamuongei kilichokua kinaendelea syria? Israel na palestina imewauma sana kuliko machafuko ya syria waliokufa watu zaidi ya 6m
 
Hamas huwa hawaanzishi Vita Ila huwa unatafuta sababu watu watu wapigwe na waporwe ardhi
Tatizo mna judge situation kwa juu juu bila kufatilia jambo kwa jmakini. Kila jambo unaloliona lina historia. Mfanye research msiwe biased
 
If you don't kill them, thet will kill you, kill in order to survive, no mercy In war.

Njia pekee ni kusuluhisha kwa muda Vita hii mgogoro hakuwezi kuisha.
Yakobo(Israeli)aligombana na pacha wake tumboni.( Esau).Ho jamaa wameanza kugombana tangia tumboni mwa mama zao
 
Nimechelewa kukujibu Nyani Ngabu nilikuwa offline . Ni hivi umesema wanayo sababu za kuanzisha urushaji na sisi tunazisoma hizo sababu. Ndiyo wakubaliane matokeo yake.

Mfano ni sisi huku Africa . Unasikia kabla ya uhuru jamii fulani ilivamia jamii nyingine kutafuta maeneo . Na nyingine ziliahamia kwa amani, na baada ya uhuru watu walikubaliana kuishi kwa amani. Kwanini isiwe hivyo kwa Palestinians na Israelis ?!. Hivi vi rockets faida yake ni kuendeleza uadui usioisha .

Mwisho mbona Palestinians upande wa Mohamuud Abbas hawana vurugu na waYahudi . Mbona huko kuko kimya isipokuwa huko Gaza ?! . Nijibu kistaarabu
 

Extremists Mmetaka vita wacha mpigwe mlie kisha mtanyamaza tu maumivu yakiwaisha..​

Mshaambiwa Muheshimu serikali na sio Magaidi mtaisha kama mmechoka kuishi...
 
UN Wanasikiliza USA anasemaje, USA anaenda kuzoza na NATO, NATO wana sheria ya kumlinda muisraeli.

Mzunguko uendelee.
 
Tatizo mnatumia jina la Palestina wakati wanaopigwa ni Magaidi wa Hamas wanaojificha nyuma ya Wapalestina unategemea nini acheni ufanatic.. Hivi Pale Kibiti wadhani hakukuwa na Watoto waliopoteza Uhai? inamaana wale magaidi wa Kibiti hawakutakiwa kuchapwa mitutu? walikuwa wanaua hadi Traffic Police wamekimbilia Msumbuji wanachofaanya huko ni sawa sawa na Hamas olny wajinga ndio wanasupport Hamas kwa Jina la Palestina
 
Bubu Ataka Kusema.....una uhakika? walishawahi kufanya blunders 2006 kuliko hii israel hawaogopi lolote wala chochote na wakishindwa wanachukua zile hellfires wanafunga hapo nuclear war head wanashusha tatu hapo ashdod, gaza na westbank....hapo kwenye modification waulizwe new york
 
Wangekuwa na uwezo wa kutumia nuclear weapons wangeshazitumia miaka mingi iliyopita. Sahau hilo.
 

Mkuu nipate kusema,nimejifunza mambo mengi sana kwenye bandiko lako hili...
Hat mm mkuu
Sasa kwann Palestine haiwazarau Hamas, narudia Tena Israel target yake ni ardhi hvo lazma awachokoze ili wareact awapige ashinde ardhi, wamefanya hvo mpaka Sasa wamekaribia kuichukua 9 ya 10 ya ardhi ya palestina,...kilichotokea sahz ni katika unyanganyi huo huo families kazaa zilifukuzwa kwenye makaz yao huko west Jerusalem na makaz hayo kupewa wa Egypt, watu Waka Hama na kukosa makaz na fujo zilianzia msikitin Al adsa , kwa mtazamo Wang Hamas ni mwanaume wa jihad kupgana na israel mweny kila silaha ya maangamiz huku akiwa na backup ya USA ,UK na France unahtaj roho ya chuma sio kitoto....Hamas anayambulika Kama mwanaume halis ndan ya Gaza , na watu wa Gaza hawajutii kwakuwa wao ni wakimbizi na wamepata madhara moja kwa moja toka Israel,....Leo Gaza Ina watoto wadogo , yes hata Kama Gaza itasambaratika wataondoka Kama wakimbiz kwenda Egypt na kwingineko, yote Tisa kumi dunia itaendelea kuzalisha makundi meng ya kigaidi na watu wa kujitoa mhanga, hii itakuwa ni hasara kubwa Zaid dunian miaka kumi ijayo,. Mungu aimalize Vita hii...









 
Hamas started this war!! I am wondering why you are not blaming them instead your spreading propaganda against Israel??
Bado mzimu wa magu unakuandama badailisha hio id hizi ni zama nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…