paschal Martin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 401
- 385
Je huo Uislamu unashangilia kurushwa kwa maroketi 3000 nchini Israel upo vizuri?Ukrsto huo bila niachwe nfe na dhambi zangu IPA kamwe siwezi shangilia umwagaji wa damu
Sisi sote ni ndugu
Kumekua na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanin
Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa mfumo wa iron dome defense system,
Hamas anaporusha Yale makombora yake achagui, tofauti na Israeli anaposhambulia Gaza anatoa taarifa kwanza watu waondoke
View attachment 1787714
Defence system ya Israel ni expensive , kiujumla jeshi lao ni expensive sana.Ila Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za Hamas
Gharama zaidi ya maisha ya watu ?Ila Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za Hamas
Gharama atakayotumia MO kwenda Zanzibar leo na kurudi kesho ni tofauti na gharama utakazotumia weweIla Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za Hamas
[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji2815][emoji2815][emoji2815]Magaidi yote ya Palestina yauawe na maeneo yao yote ya kupanga mipango yao imeshalipuliwa. Mungu ni mwema sana na mwenye nguvu.
Wanaingia kwenye vita wasiyoiweza hao watawadhaji.
View attachment 1787712
Unadhani kabla ya huo mwaka Israel hawakuwepo pale? Walikuwwpo miaka mingi sana na walikua wanapigana ili waachiwe ardhi yaoin 1948 Israelis expeled more than 70% of the inhabitants of that country to form their new state. And it has systematically contuinued to push t the limit the ones who remained so that they leave that land.
Ukinipiga umenionea... Ukiniacha umeniogopaAlafu wanadai wanaonewa ajabu sana
Walikuwepo jewish minorities pale na waliishi kwa amani kabisa na majority arabs wote ndani ya nchi yao.Unadhani kabla ya huo mwaka Israel hawakuwepo pale? Walikuwwpo miaka mingi sana na walikua wanapigana ili waachiwe ardhi yao
Ulitaka wakae watulie tu wakiuawa?Alafu wanadai wanaonewa ajabu sana
Tatizo mnachanganya mambo!Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
Maombi yana sehemu yake ni agizo pia ili kutimiza unabii mkuu!Taifa teule halilindwi na sala na maombi, linalindwa na sayansi.
Sisi na Taifa letu lenye uchawi wa mwenge kila kitu tunaamini kinaendeshwa kwa sala na maombi ndio maana hatutoboi
Aiseee[emoji848]Gharama atakayotumia MO kwenda Zanzibar leo na kurudi kesho ni tofauti na gharama utakazotumia wewe
Gharama anayotumia rais wa Marekani kusafiri nje ya nchi ni tofauti na gharama watumiazo marais wa nchi nyingine.
Wakati Manara muajiriwa tu wa Simba anazimia mara mbili kwa tukio la Simba kufungwa bao 4 na Kaizer Chiefs, MO, biliobea aliyewekeza mabilioni yake mengi kweny timu hiyo anaaihirisha kununua Rolls Royce na kuamua kuwekeza zaidi kwenye club hiyo.
Unapoongelea ughali jiulize mara nyingi nyingi huo ughali unautafsiri vipi au unauringanushaje.
Zile zilikua adhabu kwa uovu waliotenda kwa Mungu, na kupelekwa ulaya na roman empire ilikua ni adhabu ya kumkataa Yesu,Kama Mungu aliwaacha Waisrael wakateseka kwa Hitler na Farao kwa miaka mingi kisha akawanusuru, basi atawanusuru wapalestina pia maana ni watu wake pia na Mungu si mbaguzi
[emoji116]View attachment 1789077
Hao Wayahudi hawafuati hayo mafundisho ya Yesu, wanafuata Jino kwa jino. Kwa hiyo kuna haja ya kudeal nao jino kwa jino!Hayo sana sana ungewatahadharisha wafuasi hawa wa jino kwa jino!
WAYAHUDI
[emoji116][emoji116]
KUM. 19:21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
WAISLAMU
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَِ حَيَاةٌ يَاْ أُولِيْ الأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ ﴿١٧٩﴾
2/Al-Baqarah-179: Va lakum feel kıseası haayeatun yea uleel albeabi laaallakum tattakoon(tattakoona).
And for you there is life in retaliation, O Ulû’l elbâb! (Those who have attained to the continuous remembrance of the Name of Allah and thus know the innermost secret treasures of Allah!), that you may become the pious (Al-Muttaqûn, the owners of takwâ).
WAKRISTO
[emoji116][emoji116]
MT. 5:43-48 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo? Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo? Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
Dunia Pangekuwa Mahali Pazuri Sana Kuishi Kama Ingeyafuata na Kuyaishi Mafundisho ya Yesu!
Very correctA woman and a half, the one and only female prime minister to hold such a higher position for Israel. The founder of the state of Israel. Golda Meir. Her legacy lives
Myahudi ni jino kwa jinoHao Wayahudi hawafuati hayo mafundisho ya Yesu, wanafuata Jino kwa jino. Kwa hiyo kuna haja ya kudeal nao jino kwa jino!