Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

Kumekua na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanin

Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa mfumo wa iron dome defense system,

Hamas anaporusha Yale makombora yake achagui, tofauti na Israeli anaposhambulia Gaza anatoa taarifa kwanza watu waondoke

View attachment 1787714
 
Ila Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za Hamas
Defence system ya Israel ni expensive , kiujumla jeshi lao ni expensive sana.
Hilo ndilo jeshi la kisasa.

Nyuma ya Israel kuna EU na Marekani.
 
[emoji116]
IMG_20210514_071800.jpg
 
Ila Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za Hamas
Gharama atakayotumia MO kwenda Zanzibar leo na kurudi kesho ni tofauti na gharama utakazotumia wewe
Gharama anayotumia rais wa Marekani kusafiri nje ya nchi ni tofauti na gharama watumiazo marais wa nchi nyingine.
Wakati Manara muajiriwa tu wa Simba anazimia mara mbili kwa tukio la Simba kufungwa bao 4 na Kaizer Chiefs, MO, bilionea aliyewekeza mabilioni yake mengi kweny timu hiyo anaaihirisha kununua Rolls Royce na kuamua kuwekeza zaidi kwenye club hiyo.

Unapoongelea ughali jiulize mara nyingi nyingi huo ughali unautafsiri vipi au unauringanashaje.
 
Magaidi yote ya Palestina yauawe na maeneo yao yote ya kupanga mipango yao imeshalipuliwa. Mungu ni mwema sana na mwenye nguvu.

Wanaingia kwenye vita wasiyoiweza hao watawadhaji.


View attachment 1787712
[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji2815][emoji2815][emoji2815]
 
in 1948 Israelis expeled more than 70% of the inhabitants of that country to form their new state. And it has systematically contuinued to push t the limit the ones who remained so that they leave that land.
Unadhani kabla ya huo mwaka Israel hawakuwepo pale? Walikuwwpo miaka mingi sana na walikua wanapigana ili waachiwe ardhi yao
 
Unadhani kabla ya huo mwaka Israel hawakuwepo pale? Walikuwwpo miaka mingi sana na walikua wanapigana ili waachiwe ardhi yao
Walikuwepo jewish minorities pale na waliishi kwa amani kabisa na majority arabs wote ndani ya nchi yao.
Tatizo lilianza kwa hawa "walowezi" wa kiyahudi kutoka Ulaya waliokuja na kufukuza wenyeji wao
 
Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
Tatizo mnachanganya mambo!
Ile kwamba inatetewa haina maana watu wanamaanisha Israel ni wakristo na inajulikana kuna madhehebu tofauti!
Mungu alishasema ukiilani Israel umelaaniwa ukiibariki utabarikiwa hiyo haina maana kwamba Israel lzm wawe waKristo au laa!Mungu hakuagiza hivyo eti wa Israel wakristo!
 
Taifa teule halilindwi na sala na maombi, linalindwa na sayansi.
Sisi na Taifa letu lenye uchawi wa mwenge kila kitu tunaamini kinaendeshwa kwa sala na maombi ndio maana hatutoboi
Maombi yana sehemu yake ni agizo pia ili kutimiza unabii mkuu!

Ila hili LA mwenge kwakweli mama kanichefua,sijui ni nn hii!
 
Gharama atakayotumia MO kwenda Zanzibar leo na kurudi kesho ni tofauti na gharama utakazotumia wewe
Gharama anayotumia rais wa Marekani kusafiri nje ya nchi ni tofauti na gharama watumiazo marais wa nchi nyingine.
Wakati Manara muajiriwa tu wa Simba anazimia mara mbili kwa tukio la Simba kufungwa bao 4 na Kaizer Chiefs, MO, biliobea aliyewekeza mabilioni yake mengi kweny timu hiyo anaaihirisha kununua Rolls Royce na kuamua kuwekeza zaidi kwenye club hiyo.

Unapoongelea ughali jiulize mara nyingi nyingi huo ughali unautafsiri vipi au unauringanushaje.
Aiseee[emoji848]
 
Kama Mungu aliwaacha Waisrael wakateseka kwa Hitler na Farao kwa miaka mingi kisha akawanusuru, basi atawanusuru wapalestina pia maana ni watu wake pia na Mungu si mbaguzi
Zile zilikua adhabu kwa uovu waliotenda kwa Mungu, na kupelekwa ulaya na roman empire ilikua ni adhabu ya kumkataa Yesu,

Sio kwamba Mungu anawapendelea anawapa wanacho stahili kama wakimuudhi
 
Hayo sana sana ungewatahadharisha wafuasi hawa wa jino kwa jino!

WAYAHUDI
[emoji116][emoji116]
KUM. 19:21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

WAISLAMU
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَِ حَيَاةٌ يَاْ أُولِيْ الأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ ﴿١٧٩﴾
2/Al-Baqarah-179: Va lakum feel kıseası haayeatun yea uleel albeabi laaallakum tattakoon(tattakoona).

And for you there is life in retaliation, O Ulû’l elbâb! (Those who have attained to the continuous remembrance of the Name of Allah and thus know the innermost secret treasures of Allah!), that you may become the pious (Al-Muttaqûn, the owners of takwâ).

WAKRISTO
[emoji116][emoji116]
MT. 5:43-48 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo? Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo? Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

Dunia Pangekuwa Mahali Pazuri Sana Kuishi Kama Ingeyafuata na Kuyaishi Mafundisho ya Yesu!
Hao Wayahudi hawafuati hayo mafundisho ya Yesu, wanafuata Jino kwa jino. Kwa hiyo kuna haja ya kudeal nao jino kwa jino!
 
A woman and a half, the one and only female prime minister to hold such a higher position for Israel. The founder of the state of Israel. Golda Meir. Her legacy lives
Very correct
 
Hao Wayahudi hawafuati hayo mafundisho ya Yesu, wanafuata Jino kwa jino. Kwa hiyo kuna haja ya kudeal nao jino kwa jino!
Myahudi ni jino kwa jino
[ORIGINAL] [emoji123][emoji123]
[emoji116][emoji116]
KUM. 19:20-21 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako. Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

Ila waisilamu wako vuguvugu
[emoji116][emoji116]
[emoji116][emoji116]
وَإِنْ تَعْفُوا وَتَصْفَحُوا وَتَغْفِرُوا فَإِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ
Na mkisamehe, na mkapuuza, na mkaghufiria, basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu.
(Suratul Taghābun, Na. 64, Ayat 14)

Na Yesu Ametufundisha Ukiwa Hivyo kama waislamu Mungu ATAKUTAPIKA [emoji24][emoji24]
[emoji116][emoji116]
UFU. 3:16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

Hivyo waislamu wajiangalie Itakula kwao[emoji24][emoji24]

Sababu Neno la Mungu Yehova ni Thabiti
[emoji116][emoji116]
ISA. 55:11 ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.

[HUO NI ULIMWENGU WA RORO]
 
Back
Top Bottom