Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanakumbi.
Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza.
Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine wameondoka na vifaru. Toka mwanzo Hamas waliwambia Makaburi yenu yatakuwa Gaza.
IDF inasema kwamba hadi wanajeshi 5000 wanaweza kuchukuliwa kuwa vilema wa kudumu katika siku 100 zilizopita.
kama ni hivyo, askari wao wangapi wameuawa?
Hizi ni hasara ambazo hazijawahi kushuhudiwa katika jeshi la Israel
---