Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Lakini ndio inawepelekesha wafuasi wa allah mpaka leo mmeshindwa kuwatoa!Nchi yenyewe uchochoro,jangwa
Yes waende mstari wa mbele wakapambane kama kweli wanahitaji kuwa wakaazi wa IsraelChuki ipi hapo? Wewe unaona sawa Waafrica kupelekwa vitani huko Gaza?
Mbona wapo waisrael weusi wengu tu.Halafu ukiisha kukubaliwa unapimwa afya unapewa dawa hamna kuzalisha wanawake wao mamaae!
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.
Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO
Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.
View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwHabari zaidi Bofya hapa chini
Mshahara shingapi kwa weekWanaukumbi.

Wewe bikra yako ilitolewa na muuza chipsi au na Bodaboda? naona umeanza kuwaonea wivu wenye bikra zao,Vipi huko kwenye pepo ya allah bikira zimeisha?! Au na wewe unataka kuolewa
Mbona Ukraine walikimbia zaidi ya Raia mil 6 kwenye vita dhidi ya Russia?!Cha ajabu ni kwamba wao Waisrael wenyewe zaidi ya milioni moja wameshakimbia nchi yao tangu vita ianze. Wamerudi zao ulaya manake kila mmoja wao ana uraia pacha..Sasa unakimbiaje nchi yako wakati wa vita? Nani sasa akapiganie ardhi yenu mliyoahidiwa?
Yani mko radhi kuua kwa ajili ya ardhi yenu lakini nyinyi hamktaki kufa kwa ajili ya kuitetea ardhi hiyo hiyo? You will never see this in Palestine. wapalestina wanafia hapo wanafukuzwa lakini hawaondoki.. sbb ni ardhi yao..
Sasa wewe black eti ndio ukawapiganie Israel, wao wamekimbilia US huko.. pambafu kabisa
Wafuasi wa allah mnachuki sana na wayahudi ila hamtaweza kuwatoa miaka 1000.Nenda Gaza kaokoe mateka upate ukazi wa Israel acha kupambana na Wapalestina JF na Tecno yako.
Waende mstari wa mbele ili baadae wawe wakaazi wa Israel wakiwa ndani ya Makaburi yao.Yes waende mstari wa mbele wakapambane kama kweli wanahitaji kuwa wakaazi wa Israel
Kuliko Wayahudi wanavyomchukia Yesu?Wafuasi wa allah mnachuki sana na wayahudi ila hamtaweza kuwatoa miaka 1000.
Umepanic😀Wafuasi wa allah mnachuki sana na wayahudi ila hamtaweza kuwatoa miaka 1000.
Si wanataka kuishi ndani ya Israel. Lazima wapambane. Kuna wengine watakufa na wengine watabaki.Waende mstari wa mbele ili baadae wawe wakaazi wa Israel wakiwa ndani ya Makaburi yao.
Nendeni mkafanywe chambo,wao wenyewe wameona wanakwisha ndio wanataka kuwatanguliza mbele nyinyi wayahudi weusi wa Nzega.Si wanataka kuishi ndani ya Israel. Lazima wapambane. Kuna wengine watakufa na wengine watabaki.
Ndio vita ilivyo.
Mayahudi wana akili kweli, wanajua watakaorudi ni kama elfu 5 tuWanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.
Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO
Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.
View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwHabari zaidi Bofya hapa chini
Itakua huijui mbeleko ya ulaya na marekani kwa hiyo kambi yao ya kijeshi mashariki ya katiLakini ndio inawepelekesha wafuasi wa allah mpaka leo mmeshindwa kuwatoa!