Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

haya wale timu upinde dili hilo kule mambo yenu ya kupakuana yamehalalishwa kisheria...ILA HAMAS HATARI NA NUSUKIPIGO MPK WATU WANAOMBA KUWAPA WATU URAIA ILI WAKASAIDIE MAPAMBANO NA MAKOBAZI!!1
 
Sina mbavu kabisa...😀😃😄😁😆😅😂🤣😭
 
Ms
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

Mshahara shingapi kwa week
 
Cha ajabu ni kwamba wao Waisrael wenyewe zaidi ya milioni moja wameshakimbia nchi yao tangu vita ianze. Wamerudi zao ulaya manake kila mmoja wao ana uraia pacha..Sasa unakimbiaje nchi yako wakati wa vita? Nani sasa akapiganie ardhi yenu mliyoahidiwa?

Yani mko radhi kuua kwa ajili ya ardhi yenu lakini nyinyi hamktaki kufa kwa ajili ya kuitetea ardhi hiyo hiyo? You will never see this in Palestine. wapalestina wanafia hapo wanafukuzwa lakini hawaondoki.. sbb ni ardhi yao..

Sasa wewe black eti ndio ukawapiganie Israel, wao wamekimbilia US huko.. pambafu kabisa
Mbona Ukraine walikimbia zaidi ya Raia mil 6 kwenye vita dhidi ya Russia?!
The bottom line ni kwamba kwenye vita yoyote kuna raia watakimbia hasa wanawake na watoto.
 
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

Mayahudi wana akili kweli, wanajua watakaorudi ni kama elfu 5 tu
 
Hapo kwa kuipigania Israel pamoja na kutoa incentives lakini hakuna atakayeenda au watapata wachache Sanaa.
Siku wakisema watu elf 30 wajitolee kwenda Gaza kusaidia na mipaka ikaachwa wazi waingie basi nakuhakikishia kwamba ndani ya wiki moja watajitokeza watu si chini ya milioni 3 kutoka duniani kote.
na hao watu wala hawatahitaji kulipiwa nauli, nauli watajilipia wenyewe na wala hawatahitaji kupewa uraia. Yani wataenda kuisaidia Palestine bila ya malipo wala incentive yeyote ile.

Na kamwe hawatakaa wakaruhusu watu wakajitolee kuwasaidia Palestine kwa sbb wanajua impact yake.
 
Back
Top Bottom