Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

Tilimlilia kama mtanzania mwenzetuu na si mwisrael kwan Joshua alikua mkimbizi si alikua masomon hao wakimbizi lazma wapgane ili nao wawe sehem ya hyo ardhi inayopiganiwa tena umewataja kwa idadi 30000
Ueleweki unaandika nini hufahamu Waisrael wewe endelea na ushabiki mandazi.
 
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

[/QUOTE
Kwa African hasa Tanzania watawapata wengi sana maana ujinga na ulikole ni mwing sana
 
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

kafara....shenziii
 
Wewe Poyoyo,hizi mada zipo nje ya uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo,
Nenda tu kaanzishe vile vi uzi vyako vya kipumbavu vya kujifanya una hela na kuwatukana masikini,
Endelea kuishi kwa maigizo hapa JF,hizi mada za kianaume kaa nazo mbali,huna akili ya kuchambua mada za aina hii,

Unahangaika kubadili ID's badala ya kuibadili akili yako,mara ujiite Chief Godlove mara @ChristopherPaul15 na hii ID yako Football unahangaika na maisha ya maigizo tu,tafuta Mume uolewe ili utupunguzia kutujazia server humu kwa ujinga uliokujaa kichwani.
 
Hii ni chai acha hasira binti jamii forum sio ya baba Yako boya wewe hasira za kusemwa na umasikini wako usiniletee mimi
 
Tafuta Mume utulie wewe mjane,kutema pumba humu hakuwezi kukufanya upate mume bora,
Tulia tu hapo kwa Bi mkubwa,Posa zitakufuata hapo hapo,

Mada za kianaume kaa nazo mbali coz akili ya kuzijadili huna,
Kichwa Panzi wewe.
 
Back
Top Bottom