Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

Wewe kafiri uliyelaaaniwa kajifundishe kuandika kwanza kuliko kusambaza uharo wako hapa.
Narudia tena makafiri mliotukuka wanafiki ni nyie wafuasi wa allah
Waliolaaniwa nyie mnaolipuana mpaka kwenye misikiti yenu.
NB; hapa sipo kwenye mtihani wa kuandika
 
Narudia tena makafiri mliotukuka wanafiki ni nyie wafuasi wa allah
Waliolaaniwa nyie mnaolipuana mpaka kwenye misikiti yenu.
NB; hapa sipo kwenye mtihani wa kuandika
Makafiri wenzako hawa hapa Punga wewe.
 
Attachments

  • Screenshot_20231222-004828.jpg
    Screenshot_20231222-004828.jpg
    47.1 KB · Views: 3
Cha ajabu ni kwamba wao Waisrael wenyewe zaidi ya milioni moja wameshakimbia nchi yao tangu vita ianze. Wamerudi zao ulaya manake kila mmoja wao ana uraia pacha..Sasa unakimbiaje nchi yako wakati wa vita? Nani sasa akapiganie ardhi yenu mliyoahidiwa?

Yani mko radhi kuua kwa ajili ya ardhi yenu lakini nyinyi hamktaki kufa kwa ajili ya kuitetea ardhi hiyo hiyo? You will never see this in Palestine. wapalestina wanafia hapo wanafukuzwa lakini hawaondoki.. sbb ni ardhi yao..

Sasa wewe black eti ndio ukawapiganie Israel, wao wamekimbilia US huko.. pambafu kabisa
Mkuu waisrael wamechoka maisha ya vurugu vurugu kila siku.
Mbona vyombo mbali mbali vilikua vikiwahoji na wakikiri kuwa wamechoshwa na maisha ya kukimbizana!??
Wewe leo karusha maroketi Hamas,mara kesho karusha Hizbollah Galilaya, mara kesho kutwa karusha Syria.
Hayo maisha ya kusikia air siren kila uchwao wameyachoka.
 
Punga ni aliemnyonya Ali hassan ulimi ili aende peponi
Na punga wengine ni hao walijaa huko pwani penye tamaduni za kiarabu na uislamu.
Nenda ukabarikiwe kabla hujachelewa,mchukue na mumeo anayekupiga paipu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240917_180738_Gallery.jpg
    Screenshot_20240917_180738_Gallery.jpg
    473.7 KB · Views: 2
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

kina kibosho ndio wanaenda kushika ukuta kabisa huko 😄
 
Haya na wale Sunni wanao msnitch Ayatollah nafasi ndo hizo za kwenda kumpigania Netanyahu waziwazi bila kificho
 
Nani yuko tayari kusogelea jehanamu ya duniani wao wenyewe wamechoka wanapigana na mzimu kila wakiaga rafah wauni wapo,Kuhani yunis wapo central gaza wapo westbank kimenuka mbaya kila siku ni maiti kama kumbi kumbi. Kwanza atakae kubali kupigana chini ya uongozi wa idf atakua fala hawana ground skills za kutosha wanaenda wamerudikana wengine kwenye na bull dozer ufala ufala watasababisha watu wafe bure. Yaan wao wako vizuri kwenye air force
 
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

😂🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom