Israel kuandaa hema 25,000 zitakazoishi watu wa Rafah kabla kupapiga

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kiukweli waarabu washukuru sana wanapambana na Israel maana ingekua Urusi au Wachina wasingekua na hizi huruma, wao hupiga kitu kinachoitwa carpet bombing, Israel wana uwezo wa kusambaratisha kila kitu ndani ya siku moja, ila inawabidi wawe na huruma kwa watoto na kina mama. ambao pia magaidi ya dini hujificha nyuma yao.

Sasa hapa Israel wanafanya jitihada za kuandaa hema zitakazotumika kuishi wananchi wa kawaida ili atakayebaki Rafah asije kulaumu, patapigwa bila huruma maana ndio ngome ya mwisho ya HAMAS.

====================

Amid growing international concern over the Israel Defense Forces’ plans to conquer the Gaza Strip’s southernmost city of Rafah, Israel has drawn up an evacuation plan for civilians along the coast, according to a Tuesday report.

The Wall Street Journal reported that the plan envisions 15 sites containing 25,000 tents each across Gaza, running from the southern edge of Gaza City down to the Al Mawasi area north of Rafah.

Israel has presented the plan to Egypt in recent days, the report said.

Kulikua na kafiri mkubwa akiitwa Abujahal wakati wa mtume. Aliuchukia uislam kuliko wewe lakini alikufa mdomo wazi na kuuacha uislam unakuwa kwa kasi
 
Haya mavitu huwa unaandika andika una uhakika gani yalitendeka, una uhakika gani kulikua na huyo muarabu Muhammad ambaye unamubudu kwa nguvu zote hizi, muarabu asingekuja kubaka wazee wetu Pwani hata huo uislamu usingeujua.
 
Aisee!
Muarabu asingekuja kuwafanya nn mababu zetu🤣🤣
 
Tunasubiri lakini tunajua wakimaliza hapo watasema kuna sehemu ya mwisho na baadaye watasema hivyo hivyo! Nashangaa sana hao jamaa zenu mnaowasifia kila kukicha wanashindwa na sehemu inayolingana na manispaa ya Ilala kwa miezi kadhaa sasa kweli ushoga si mzuri maana badala ya kupigana wao kutwa wanapakuana tu.
 
Ukisoma historia ya kilichokua kinafanywa na waarabu kwa weusi karne za 1300 huko, yaani unaweza ukachukia sana, ni majitu ya hovyo sana, halafu leo unaona limtu limevaa kanzu eti lifanane na muarabu.
Waarabu hata leo hii kwao huko wanatesa waafrika sana, kwanza hapa hapa Sudan wanachinja weusi kama senene.
 
Wana uwezo wa kupapiga kwa siku moja pafutike, sema mazombi ya dini yenu yanajificha nyuma ya watoto hadi inabidi mbinu za kikomando zitumike kupigana nao.
 
Kulikua na kafiri mkubwa akiitwa Abujahal wakati wa mtume. Aliuchukia uislam kuliko wewe lakini alikufa mdomo wazi na kuuacha uislam unakuwa kwa kasi
Kwani ni vita ya kidini? Uislamu umeingiaje? Anapigwa Hamas mtawala wa Gaza wew unahangaika huko gairo. TULIA PAMBANA UMEME UWE WA UHAKIKA TANZANIA ACHANA NA USHABIKI WA KIDINI.
 
Unachokisema ni ukweli. Mababu zetu walipitia mateso makubwa sana.

Ila kuna watu wanajiona bora kujilinganisha na nyarabu. Wanaubinafsi sana

Ukweli usemwe tu. Waislam wanaasili ya ubinafsi sana wanajiona kama viumbe specheli sana. Sijui sababu ya mafundisho yao.

Ukisoma historia ya kilichokua kinafanywa na waarabu kwa weusi karne za 1300 huko, yaani unaweza ukachukia sana, ni majitu ya hovyo sana, halafu leo unaona limtu limevaa kanzu eti lifanane na muarabu.
Waarabu hata leo hii kwao huko wanatesa waafrika sana, kwanza hapa hapa Sudan wanachinja weusi kama senene.
 
Unachokisema ni ukweli. Mababu zetu walipitia mateso makubwa sana.

Ila kuna watu wanajiona bora kujilinganisha na nyarabu. Wanaubinafsi sana

Ukweli usemwe tu. Waislam wanaasili ya ubinafsi sana wanajiona kama viumbe specheli sana. Sijui sababu ya mafundisho yao.
Waislam wabinafsi kwa sababu waislam watu wa peponi na wakiristo na ukifa ukiristo unaingia motoni. Kwa hivyo chagua kua mbinafsi au uwe mtu wa motoni
 
Kwani ni vita ya kidini? Uislamu umeingiaje? Anapigwa Hamas mtawala wa Gaza wew unahangaika huko gairo. TULIA PAMBANA UMEME UWE WA UHAKIKA TANZANIA ACHANA NA USHABIKI WA KIDINI.
Mimi ni muislamu na muislamu yoyote duniani akipata matatizo waislam wote duniani tunatakiwa tumuunge mkono
 
Waislam wabinafsi kwa sababu waislam watu wa peponi na wakiristo na ukifa ukiristo unaingia motoni. Kwa hivyo chagua kua mbinafsi au uwe mtu wa motoni
Binadam wote ni sawa imani yako isikudanye.
Ulivyozaliwa wewe ni sawa alivyozaliwa yule, imani umeikuta tu katika jamii uliyozaliwa.

Huwezi kujihesabia haki wakati kifo na hatima ya kifo huijui. Ni vile tu mnajitoa fahamu.

Binadam na jamii iliyostarabika ni ile inayoishi kwa wema na kuwatendea mema wengine kama vile yoyote angependa kutendewa

Mafundisho yenu kwa sababu yanafundishwa kwa mihemuko na ubinafsi yanafungamana sana na ugaidi, ukatili na ubaguzi. Ndio maana jamii na mataifa ya kiisilam yanashida sana hata ninyi kwa ninyi.

Kama kweli huyo muddy anafurahia mnachokifanya basi hafai kwa jamii iliyostarabika. Lazima apigwe tu ila kmaa mnafanya kwa matamanio yenu. Mungu awasamehe sana.
 
Back
Top Bottom