cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Watu hawajui kinachoangaliwa zaidi ni damu/rangi na siyo diniUkisoma historia ya kilichokua kinafanywa na waarabu kwa weusi karne za 1300 huko, yaani unaweza ukachukia sana, ni majitu ya hovyo sana, halafu leo unaona limtu limevaa kanzu eti lifanane na muarabu.
Waarabu hata leo hii kwao huko wanatesa waafrika sana, kwanza hapa hapa Sudan wanachinja weusi kama senene.