Israel kuandaa hema 25,000 zitakazoishi watu wa Rafah kabla kupapiga

Hamas waliyakanyaga, calculation zao zilikuwa zero
 
Kulikua na kafiri mkubwa akiitwa Abujahal wakati wa mtume. Aliuchukia uislam kuliko wewe lakini alikufa mdomo wazi na kuuacha uislam unakuwa kwa kasi
hakuna anaeuchukia uislam bali tunauchukia ugaidi unaofanywa na waislam , unaonekana unamaanisha uislam na ugaidi ni kitu kimoja , je waislam wenzako wanaunga mkono ktk hilo ?
 
hakuna anaeuchukia uislam bali tunauchukia ugaidi unaofanywa na waislam , unaonekana unamaanisha uislam na ugaidi ni kitu kimoja , je waislam wenzako wanaunga mkono ktk hilo ?
Mandela aliitwa gaidi ulimchukia? Sema unauchukia uislam. Na kulikua na kafiri mkubwa kuliko kafiri wewe lkn mwisho wa siku ameuacha uislam ukifika mpaka ulaya
 
unataka wapige nyuklia ? hv waislam mnapendana kwel ? wenzio wanaanza watukana hamas kwa kuwaletea matatizo wewe unaona bado wajapigwa vizur hahahaa sitakubali niwe mvaa kobaz dini ya shetan hii
 
Waislam wabinafsi kwa sababu waislam watu wa peponi na wakiristo na ukifa ukiristo unaingia motoni. Kwa hivyo chagua kua mbinafsi au uwe mtu wa motoni
ushawai fika peponi ? hiz dini zinaongoza kwa uongo halaf wanakwambia USIDANGANYE
 
Jionee huruma ukifa ukiwa sio muislam
dini imeshushwa uarabun , mafundisho yameandikwa katika kiarab ila mtu mmoja kutoka ulanga anajiona mwenye haki sana kwa kutegemea dini ya kuletewa , INABID TUTAWALIWE TENA ASEEE VICHWA VIMELALAA SANAAA
 
Huna akili wewe. Kushushwa uarabuni ndio shija? Baba yako aliandika barua kuzaliwa Afrika? Wewe uliandika barua kua binaadam? Una akili za nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…