Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

Jana kuna post ilipandishwa hapa ikizungumza Mzayuni kulalamika kupungukiwa na wanajeshi zaidi ya 10,000/= kwenye operation yake na hamas.

Sasa nadhani jamaa walitumia trick ya kusema uwongo ili Muiran awatamani awaone wepesi aanzishe varangati sasa ameona wameshtukia chezo kaona bora amfuate huko huko
 
Taarifa za kikao Cha Siri Cha Israel unajua ww uliekuwepo mchambawima hebu punguza uongo
 
Idf na mossad hawatoagi taatifa wakitaka kufanya operation taarifa zinakuja operation done. Hivi nyie hamuogopi lakini
 
Wameshindwa kubadili utawala wa Syria ndio waweze kubadili Iran hvyo unatuletea vichekesho
 
Wakifanikiwa Syria basi nahuko wataweza.
 
Israel US na Jordan ziwasaidie Wananchi wa Iran ili waondoe hiyo Islamic Government ya Iran.
Waeke serikali inayotambua ushoga sio ,mbona hamriziki kila nchi mnataka ifate tamaduni za ulaya alaf zao zifatwe na Nani? Au hamfikirii hili
Yangekua bhc wanaeneza ukristo tungesema mko sahihi kuwatetea
Lakin wanafanya matendo kinyume na dini yenu ila bado mnaona wako sahihi huu ni upuuzi mkubwa mnoo
 
Sasa wewe ni nani unayebishana na Iran? Iran alishasema kwa kutumia marafiki zake wameizunguka Israel na watahakikisha wanaifuata kwenye thamani ya Dunia. Iran anasapoti Wapalestina kwa vile ni waislam waarabu, mbona hatuoni nchi za kiarabu zikisapoti waislamu wa weusi wa Darfull? Mbona hatuoni Iran ikiwa sapoti Wasomalia ili kumaliza vita?
 
Labda siri imefichuka! au mchokoza mada ni m'bovu wa kiswahili (Jaluo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…