Ukiambiwa akili huna you have to think twice or thrice, why me?
Iran in terms of GDP falls very far behind ranked 113th position in the world, 2023 data
en.m.wikipedia.org
Sasa sbb akili huna hata hujui maana ya GDP and how it reflects real life to citizens, it will be the miracle to have the lowest GDP and having better life, that is only possible for DD’s scorers..!!
Hujui kitu, kobaz wewe, penguin..!!
Huwa nikisemaga wewe hujui kitu basi kubali hujui kitu mkuu.
Ila unakua na ubishani wa kipumbavu.
Soma katika ripoti uliyoleta wewe nilipozungushia maduara mekundu.
GDP rank ya nominal wao ni wa 34 duniani,ila GDP ya purchasing power parity ni wa 19 duniani.
Aya wewe Tanzania wangapi!!??
Tizama behind poverty line yao na ni kwa shingapi tena kwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi zaidi ya miaka 45.
Tizama human development index inasema ni HIGH ilhali we Tanzania ni low.
Unemployment rate ni 8.9% aya ya Tanzania ni ngapi!??
😂😂😂😂Kabla hujaleta taarifa isome kwanza kaka.
Embu pitia halafu lete na takwimu za Tanzania tufananishe nazo.
Tena hili ni taifa ambalo lina ECONOMIC SANCTIONS takriban 40+ years.Jiulize wasingekuwa na vikwazo vya kiuchumi wangekua wapi.
GDP dollar trillion 4.
GDP PPP ni dollar trillion 1.8.
Kichaa wewe halafu unailinganisha na Tanzania GDP nzima dollar billion 60!??
Ukitoka hapo tufananishe sekta za kijamii kama hospitali,huduma za elimu na afya na usafiri.
Pia tuje sekta ya uchumi kama viwanda,kilimo n.k n.k.
Halafu uliosemea wewe ni GDP per capita ila sio nominal GDP.
GDP Per capita ni ya 113 ila PURCHASING POWER PARITY ni ya 78.
Nominal GDP ni ya 34.
Jua kutofautisha hivyo vitu.
Na hapo ni economic sanctioned nation.