Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

yaani myahudi anatamani kuzipiga hata leo ila muajemi anaogopa, anapiga mdomo tu. myahudi hadi anataka alianzishe yeye mwenyewe. hakuna ubishi kwamba iran inaiogopa sana israel na marekani hasa baaba ya kuona mameli ya marekani yamesogea na marekani kakaa kimya tu, iran anajua anaviziwa.
Israel inajitutumua ili kuficha udhaifu wa jeshi lake.
Jeshi la Israel lina majeruhi wengi kwasasa na vifo vingi,si salama kuanzisha full out war.
Ingekuwa ni salama basi wangeshavamia Lebanon kuipiga Hizbollah tangu October .
Na Jana Hizbollah wameshambulia tena kuna maafisa wamedhurika.
IMG20240805181451.jpg
 
Baada ya tukio la Oct 7 Israel ili mobilize zaidi ya wanajeshi 350000 hao ni reservist tu bado wale waliokuwa active jeshi bado Kuna wale wanao graduate mafunzoni japo vita vya siku hizi ni kucheza na teknolojia zaidi mnweza mkajikusanya wanajeshi hata milioni adui Yako akawa na wanajeshi wasiozidi lakina akakutandika vizuri tu Vladimir Putin Shahidi
Reservist huwa hawatwi hovyo tu.
Ukiona Reservist wanaitwa ujue active personnel kuna uhaba.
Israel ili deploy 600,000 millitary personnel ambao 350,000 walikua ni Reservist na 250,000 active personnel.
Na mwaka huu kukawa na uhaba wa askari kiasi mahakama ikaidhinisha raia kuingia jeshini kilazima ikiwemo Orthodox Jews ambao sheria yao inajulikana hawapaswi kujihusisha na vita.
Embu chukulia hiyo scenario je jeshi ambalo limetimia linaweza kulazimisha raia kuingia jeshini kilazima??
 
Israel inajitutumua ili kuficha udhaifu wa jeshi lake.
Jeshi la Israel lina majeruhi wengi kwasasa na vifo vingi,si salama kuanzisha full out war.
Ingekuwa ni salama basi wangeshavamia Lebanon kuipiga Hizbollah tangu October .
Na Jana Hizbollah wameshambulia tena kuna maafisa wamedhurika.View attachment 3062354
hata gaza walisema yatakuwa makaburi ya wayahudi, bahati mbaya sana, yamebaki mahame. nawaonea huruma sana.
 
Israel haina jeshi stable kwasasa labda kama itatumia Airforce basi.
Na shambulio lingine limefanyika jana inasemekana kuna maafisa wamedhurika hali zao bado hazijulikani zilivyo.View attachment 3062348
Mimi nilisikia TV channel ya Egypt wanasema Israel jeshi lake lote la Golan karibu limemalizwa huko Gaza, kwa sasa anategemea wale wanajeshi wa akiba, jeshi limesambaratishwa lote karibu, na Golan wamebaki labda 10% , tena waliwarudisha Israel ili wasife Gaza. We huoni anapeleka mpaa wanawake wachezaji wa tik tok vitani, wanamalizwa wamo kwenye vifaru.

China kisha sema US asicheze na Iran, Israel yuko kwenye panic ya ajabu, ki nchi chake cha kupora ardhi za wizi kigeography hakiwezi kuvumilia missiles 10,000 za Iran plus za Hezbullah na Al Houth sa imagine zote zirushwe time moja si balaa kwa Israel Huoni anataka eti kumuwahi Iran akampige, kichaa kweli huyo si ajabu ndege zake zikaland pale Iran sa mpa zirudi Israel zitatua wapi😄
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran

Taarifa kamili zikipatikana muda wowote IDF itaanza kuitembezea kichapo Iran

Taarifa kamili hapo chini.

====

Report: Israel could preemptively strike Iran if intelligence shows attack is imminent

In meeting with PM, defense officials weigh options, say preventative action only possible if there is absolute certainty that intelligence on Iran’s intentions is accurate

Israel would consider launching a preemptive strike to deter Iran if it uncovered airtight evidence that Tehran was preparing to mount an attack, Hebrew media reported after Prime Minister Benjamin Netanyahu convened Israel’s security chiefs for a meeting on Sunday evening.

The meeting, attended by Defense Minister Yoav Gallant, IDF Chief of Staff Lt.-Gen. Herzi Halevi, Mossad head David Barnea and Shin Bet chief Ronen Bar, was held amid preparations for anticipated attacks on Israel by Iran and its Lebanese ally Hezbollah.

The assessment that Iran is likely to attack Israel in the coming days or weeks follows last week’s back-to-back assassinations of Hezbollah military chief Fuad Shukr in Beirut and Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran. Iran has blamed Israel for Haniyeh’s death and has vowed to retaliate.

Israel is not certain what to expect from Iran and its proxies, reports have estimated, and so is discussing a wide range of options as to how it can best respond to, or prevent, an anticipated assault.

During the meeting with Netanyahu, the option of striking Iran as a deterrence measure was discussed, Ynet reported, although security officials stressed that such a move would only be authorized if Israel received definite intelligence confirming that Tehran was about to launch an attack of its own.
Natamani Iran waungane na Hizbola waichape Islaeri imeua sana wapalestina sasa wanakaribia 40,000
 
hata gaza walisema yatakuwa makaburi ya wayahudi, bahati mbaya sana, yamebaki mahame. nawaonea huruma sana.
Gaza kubakia mahame ni kawaida kulingana na silaha anazotumia IDF ni nzito mkuu.
Ila hiyo haiondoi ukweli kuwa IDF jeshi lake limepata hasara kubwa ya rasilimali watu.
Mpaka sasa wameripotiwa askari 70,000 wa IDF kuwa na ulemavu wa kudumu uliotokana na vita za Gaza.
Sio kama nalidharau jeshi la Israel,ila kwasasa liko traumatized kuanzisha vita kamili na jeshi lenye nguvu sawia na lake.
Yani labda kama USA na UK imuunge mkono,japo hapo hapo hao washirika wake ukumbuke wana vita ya kuimaliza Ukraine.
 
Mimi nilisikia TV channel ya Egypt wanasema Israel jeshi lake lote la Golan karibu limemalizwa huko Gaza, kwa sasa anategemea wale wanajeshi wa akiba, jeshi limesambaratishwa lote karibu, na Golan wamebaki labda 10% , tena waliwarudisha Israel ili wasife Gaza. We huoni anapeleka mpaa wanawake wachezaji wa tik tok vitani, wanamalizwa wamo kwenye vifaru.

China kisha sema US asicheze na Iran, Israel yuko kwenye panic ya ajabu, ki nchi chake cha kupora ardhi za wizi kigeography hakiwezi kuvumilia missiles 10,000 za Iran plus za Hezbullah na Al Houth sa imagine zote zirushwe time moja si balaa kwa Israel Huoni anataka eti kumuwahi Iran akampige, kichaa kweli huyo si ajabu ndege zake zikaland pale Iran sa mpa zirudi Israel zitatua wapi😄
Israel inatakiwa ifidie hasara ya jeshi kwasasa kwanza,kiufupi Israel kwasasa haiko fit kwa full out war.
 
Reservist huwa hawatwi hovyo tu.
Ukiona Reservist wanaitwa ujue active personnel kuna uhaba.
Israel ili deploy 600,000 millitary personnel ambao 350,000 walikua ni Reservist na 250,000 active personnel.
Na mwaka huu kukawa na uhaba wa askari kiasi mahakama ikaidhinisha raia kuingia jeshini kilazima ikiwemo Orthodox Jews ambao sheria yao inajulikana hawapaswi kujihusisha na vita.
Embu chukulia hiyo scenario je jeshi ambalo limetimia linaweza kulazimisha raia kuingia jeshini kilazima??
Reservists wapo nchi nyingi hata Tanzania tunao nchi ikiingia vitani wanaitwa kuingia fronts haijalishi Kuna upungufu ama laah.
 
Hizo ndoto wenzako wanahara huko yeye na US afu anze yeye kupiga kwani Iran ni Gaza anadhani ataogelea anavyo taka.

Hizo F-35 zikirudi ashukuru, afu ukitaka kujua Israel na America huwa wanapupa wao wakuwahi vita. Hawajui vita ni akili, angetumia akili huyo Israel wala asinge fanya ujinga huo afu US anambembeleza Iran, asimpige Israel kwa kuwatumia Oman na Jordan . Iran ana panga wapi pakupiga huyo Israel huwa anamapapara sa a, afu ataishia kupiga matank ya mafuta ili watu waone kapiga kitu cha mana sana. Ikiwa baba yake US kakosa target zakupiga Yemen huyo dogo akapate target Iran😄

View: https://youtu.be/sptoFOjIoaM?si=8qdWXV7Oht8D5ir7

Iran yuko uchi mbele ya myahudi.Myahudi ana mawakala wa Mosad kila upande.Yatamkuta yaliyowakuta Houthi,saa hizi wanakula ugali wa bure, silaha zao zimeteketezwa zote!
 
Iran yuko uchi mbele ya myahudi.Myahudi ana mawakala wa Mosad kila upande.Yatamkuta yaliyowakuta Houthi,saa hizi wanakula ugali wa bure, silaha zao zimeteketezwa zote!
Houthi silaha zao zipo underground huwezi kuziharibu.
Huko red sea Houthi bado wanashambulia meli za mizigo.
 
Iran yuko uchi mbele ya myahudi.Myahudi ana mawakala wa Mosad kila upande.Yatamkuta yaliyowakuta Houthi,saa hizi wanakula ugali wa bure, silaha zao zimeteketezwa zote!
We muonyesha mapaja kanisani nani anakuambia Yemen wanakula ugali 😄 Wale wapinga Mandi na Lahamu. We Huna habari Yemen kashambulia jana Meli ipo kwenye mdomo wa Israel kabisa au umelala na wewe chini ya mti wa mkunazi kama boss wenu Paulo.

Yemen karibu atashambulia Israel we tega sikio tu.
 
Israel kanusa mchezo kwa sababu kambi ya marekani moja ishapigwa , Hezbollah wanalegeza Iron dome ...Mda huu Raisi wa Iran kala kiapo cha kulipa kisasi , Trumpth kasema kanusa hurufu usiku wa leo Iran itashambulia .

Kama intelijensia Israel kashajua kila kitu ila ngoja tuone..

View: https://x.com/SprinterFamily/status/1820546212266758222

View: https://x.com/SprinterFamily/status/1820545020161892553

View: https://x.com/SprinterFamily/status/1820544209515880890

View: https://x.com/SprinterFamily/status/1820543562225791316
 
Vitisho walivotoa Iran ni vingi kuliko Makombora yote wamewahi kurusha
 
Ayatollah kwa mikwara, hana lolote, miaka ya 90’s nakumbuka the Late Sadam Hussein alitishia hadi kuangamiza dunia, kumbe ni mikwara tu, tena Sadam alikuwa na mikwara usipime, the same goes to Iran, hii mikwara yake ina mwisho na Ayatollah hawezi shindana na mabeberu wa dunia hii, watamnyofoa soon
 
Back
Top Bottom