Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

Hakika NETANYAHU NI MWANAUME KUTOKA MBINGUNI FANYA KAZI YA BWANA YESU DUNIA BILA MAJINI NA MAGAIDI INAWEZEKANA
 
Barikiwa mtumishi
 
Israel kama taifa inaongozwa na hii kauli
“if the enermy want to kill you, rise up and kill him first”
 

Attachments

  • B1DC7449-6863-4AD9-9366-8155B4B1C7CF.jpeg
    57.9 KB · Views: 1
Iran atatia moto visima vyote vya mafuta vya waarabu na Interest za kijeshi za Marekani ktk ukanda huo. Hii ngoma siyo ya kitoto kama mnavyodhani
 
Huyo Iran ana nini? Wa kuweza kusumbua mataifa yote ya kiarabu
 
Wacha kuzunguka mbuyu, Iran wanafadhili maadui wa Israel hili liko wazi halihitaji uthibitisho wowote.

Iran kama majanga yakimpata atakuwa amejitakia mwenyewe, hajachokozwa na yeyote, huwezi kuwapa nguvu maadui zangu za kunishambulia kisha nikuache salama, simply nawe umekuwa adui yangu kwa kuwapa nguvu za kunishambulia.
 
Kwa hivyo kwa akili zako wote kwenye hili jukwaa ni wakristo na waislam tu.
 
K
Kwa hiyo ina maana wapalestina wote ni waislam.
 
Hizo ndoto wenzako wanahara huko yeye na US afu anze yeye kupiga kwani Iran ni Gaza anadhani ataogelea anavyo taka.

Hizo F-35 zikirudi ashukuru, afu ukitaka kujua Israel na America huwa wanapupa wao wakuwahi vita. Hawajui vita ni akili, angetumia akili huyo Israel wala asinge fanya ujinga huo afu US anambembeleza Iran, asimpige Israel kwa kuwatumia Oman na Jordan . Iran ana panga wapi pakupiga huyo Israel huwa anamapapara sa a, afu ataishia kupiga matank ya mafuta ili watu waone kapiga kitu cha mana sana. Ikiwa baba yake US kakosa target zakupiga Yemen huyo dogo akapate target Iran😄



View: https://youtu.be/sptoFOjIoaM?si=8qdWXV7Oht8D5ir7
 
Israel haina jeshi stable kwasasa labda kama itatumia Airforce basi.
Na shambulio lingine limefanyika jana inasemekana kuna maafisa wamedhurika hali zao bado hazijulikani zilivyo.
 
yaani myahudi anatamani kuzipiga hata leo ila muajemi anaogopa, anapiga mdomo tu. myahudi hadi anataka alianzishe yeye mwenyewe. hakuna ubishi kwamba iran inaiogopa sana israel na marekani hasa baaba ya kuona mameli ya marekani yamesogea na marekani kakaa kimya tu, iran anajua anaviziwa. iran anajitetea ati anaombwa na majirani asiescalate vita mashariki ya kati, asambaze vita kwa nani? wakati vita ipo kwa wahuth yemen, hezbollah na syria ambao wanapigwa kila siku na yeye tu. sasa vita isambae kwa nani?
 
Baada ya tukio la Oct 7 Israel ili mobilize zaidi ya wanajeshi 350000 hao ni reservist tu bado wale waliokuwa active jeshi bado Kuna wale wanao graduate mafunzoni japo vita vya siku hizi ni kucheza na teknolojia zaidi mnweza mkajikusanya wanajeshi hata milioni adui Yako akawa na wanajeshi wasiozidi lakina akakutandika vizuri tu Vladimir Putin Shahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…