Iran sio Iraq.Ayatollah kwa mikwara, hana lolote, miaka ya 90’s nakumbuka the Late Sadam Hussein alitishia hadi kuangamiza dunia, kumbe ni mikwara tu, tena Sadam alikuwa na mikwara usipime, the same goes to Iran, hii mikwara yake ina mwisho na Ayatollah hawezi shindana na mabeberu wa dunia hii, watamnyofoa soon
Iran sio Iraq.
Iran ina misingi imara AISEE,ni taifa pekee duniani ambalo liliwekewa vikwazo zaidi ya 40 years na likasimama hadi sasa.
Narudia Iran sio Iraq.
Msije mkaanza kulia wazee wa kobazi. Halafu hii tabia yenu ya kuvaa kobazi imesababisha bei za kobazi kupanda, nimehamia kuvaa ng'inyira za kimasai.Kikao kimefanyika juu ya ardhi au chini pangoni!!
Punguza kuropoka bro.Sio lazima uongee kama hufahamu lolote.Wewe hujui kitu, maisha ya Iran ni magumu kuliko ujuavyo, kheri ya hapa Tz, so kiujumla wenye maisha mazuri ni watalawa wa Iran. A familia zao, but the rest 70% hawataki kabisa maisha ya Iran..!!
Punguza kuropoka bro.Sio lazima uongee kama hufahamu lolote.
Iran raia wake wanateseka na kitu kimoja tu,kushuka kwa thamani ya hela yao.
Iran ni middle upper income country ilhali Tanzania ni low income third world country.
Social services za Iran ziko 1000 far way better kuliko za Tanzania.
Kinachowaumiza Iran ni kimoja tu,thamani ya hela yao.
Pesa yao imeshuka thamani kiasi inawasumbua katika biashara.
Ila kwa ubora wa maisha we mswahili wa Tandale haumpati Iran hata kidocho.
Huwa nikisemaga wewe hujui kitu basi kubali hujui kitu mkuu.Ukiambiwa akili huna you have to think twice or thrice, why me?
Iran in terms of GDP falls very far behind ranked 113th position in the world, 2023 data
Sasa sbb akili huna hata hujui maana ya GDP and how it reflects real life to citizens, it will be the miracle to have the lowest GDP and having better life, that is only possible for DD’s scorers..!!
Hujui kitu, kobaz wewe, penguin..!!
Mlipovamia Israel mlitegemea maua?
Mbona anaendelea kurandaranda kwenye anga ya Iran anavyopenda sasa hiviIsrahell ku pre emptive dhidi ya iran hawezi hata kwadawa
Tokea iran atangaze kama ataishambulia iran kama ingekua taifa jengine muda huu kungekua kunamwagikiwa na mvua zamabomu nk nk nk...
Israel US na Jordan ziwasaidie Wananchi wa Iran ili waondoe hiyo Islamic Government ya Iran. Ili wasimike utawala wa kikristo eeeeh??
Mashoga oyeee 😀😀Kweni ni kundi gani limebanwa huko UK?
amepiga air defence systems zote, kiwanda cha kutengeneza drones, na wanajiandaa kupiga nuclear facility kwa sababu inasemekana air defence system zile za urusi wamezipasua zote, na sasa ivi Iran hana air defence. Israel akitaka anaweza kutuma hata mgambo aliyejifunza ndege jana akaranderande Tehran na hakuna iran itafanya.Mbona anaendelea kurandaranda kwenye anga ya Iran anavyopenda sasa hivi
Inasemekanaamepiga air defence systems zote, kiwanda cha kutengeneza drones, na wanajiandaa kupiga nuclear facility kwa sababu inasemekana air defence system zile za urusi wamezipasua zote, na sasa ivi Iran hana air defence. Israel akitaka anaweza kutuma hata mgambo aliyejifunza ndege jana akaranderande Tehran na hakuna iran itafanya.
Inasemakana wameogopa kupiga kiwanda cha mafuta kwa sababu wangechafua bahari, amfuta yangemwagikia baharini na ingechukua miaka mingi kusafisha, viumbe bahari vingekufa, Marekani akamwambie piga tu izo. siku ingine Iran ijifunze kutojifanya mbabe. ndege walizorusha angani inasemekana ni zile za kizamani akam ahizi zinazomilikiwa na waafrika. too bad.
ni ripoti imetoka yenye uhakika, wewe wa mbagala hata tukwambie nini hautaamini na haitakusaidia kitu hata iwe hivyo au isiwe hivyo.Inasemekana
Wacha isemekane tuni ripoti imetoka yenye uhakika, wewe wa mbagala hata tukwambie nini hautaamini na haitakusaidia kitu hata iwe hivyo au isiwe hivyo.
iran imeshakiri hilo, au unawabishia na wavaa vinjiwa wenzio al jazeera?Wacha isemekane tu
Usiropoke kijana.Wewe hujui kitu, maisha ya Iran ni magumu kuliko ujuavyo, kheri ya hapa Tz, so kiujumla wenye maisha mazuri ni watalawa wa Iran. A familia zao, but the rest 70% hawataki kabisa maisha ya Iran..!!