Israel kuivamia Iran, imefanya uamuzi wa kijinga

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,629
Reaction score
2,310
Hali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete.

Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia vitani baada ya kushindikana kufikia muafaka ktk mazungumzo kuhusu Silaha za nyuklia. Ktk Bandiko langu hili nitajikita kuikosoa Izrael kwa kuanzisha Vita hii bila kujali hatari kwa raia wake.
Hapa wanaizrael wote mnapaswa kukubali kukosea, na sema wote kwasababu wapo waizrael wa Bonyokwa na wa kule Tel Aviv.

Ukichunguza Mataifa yote Duniani yanayoanzisha vita dhidi ya mataifa mengine kwasababu za kulinda usalama wake, Mataifa hayo huhakikisha vita hiyo haipiganwi ktk ardhi zao. Na hufanya hivyo kwa lengo la kukwepa madhara ya vita ya moja moja kwa Raia wa Nchi zao. Mfano Marekani ni kinara wa kupigana au kuzichapa Nchi ambazo ni tishio kwake kiusalama.

Lakn huwezi kuona marekani ikipigana na Nchi mfano ilivyokuwa Cuba. kadhalika ukiangalia Rusia ktk uvamizi wake Ukraine alihakikisha vita haipiganwi ktk Ardhi yake. Sasa huyu Muizrael hata kama alishauriwa na kaka mkubwa alishindwa nini kuongeza na za kwake? Au za kwake hazitoshi hivyo anatumia za kuambiwa peke yake??

HALAFU KILA PIGO LA IRAN LINAFIKA MOJA KWA MOJA KWAKE... NI UJINGA KIASI GANI KUANZISHA VITA HALAFU KUMBE HUNA UWEZO WA KUJIKINGA NA MADHARA YAKE.

Mataifa mengine yajifunze kwa AMERICA.
 
Ni furaha kubwa sana kwetu watanzania kuona Makobaz wakinyooshwa
Umepandikizwa chuki ya kidini na watu wenye akili zaidi yako Ili uendelee kuwa msukule wao

Wewe nani aliyekudanganya kuwa vita ya Israel na Irani ni vita ya kidini?

Inamaana wewe ni mbumbu kiasi kwamba haujui kuwa hi vita ni ya kisiasa na kiuchumi

Alafu hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona katika hizo nchi mbili wewe hakuna unayofanana nayo dini?

Acha chuki za kijinga za kuambiwa changanya na zako
 
Unakazwa Ww, wap mm nmezungumzia dini?
 
Kwamba wewe unaweza kua na akili ya vita kuwazidi Mossaid, IDF? Wewe unaweza kujua zaidi mambo ya vita kumzidi komandoo Netanyahu na team yake? Sina hakika, lakini kwa haraka haraka maandishi yako ni kama yameangalia zaidi vita ilivoanza hu mwezi June, hujataka kabisa kurudi nyuma walau hata October 07, 2023, hujajishughulisha kabisa kujua chanzo au hata historia ya ugomvi wa hawa watu 2, yaani Israel na Iran. Ungefatilia chanzo au historia of these people walau hadi mwanzoni mwa miaka ya 90 wala usingeandika hiki ulicho kiandika.
 
Hadi muuza vitumbua unajiita uchambuzi... tatizo unadandia kitu usichokijua, Israelna USA hawana nia ya kupindua utawala uliopo Bali wanapiga Iran ili kudhoofisha umikiki wa silaha za nuclear.
Dunia haitakubali huyu gaidi amiliki silaha hatari za atomic ebu fikiria kikundi kama hamas, Hezbollah,houthi wakiwa na hizo silhana hii dunia itakuaje
 
Hali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete.

Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia vitani baada ya kushindikana kufikia muafaka ktk mazungumzo kuhusu Silaha za nyuklia. Ktk Bandiko langu hili nitajikita kuikosoa Izrael kwa kuanzisha Vita hii bila kujali hatari kwa raia wake.
Hapa wanaizrael wote mnapaswa kukubali kukosea, na sema wote kwasababu wapo waizrael wa Bonyokwa na wa kule Tel Aviv.

Ukichunguza Mataifa yote Duniani yanayoanzisha vita dhidi ya mataifa mengine kwasababu za kulinda usalama wake, Mataifa hayo huhakikisha vita hiyo haipiganwi ktk ardhi zao. Na hufanya hivyo kwa lengo la kukwepa madhara ya vita ya moja moja kwa Raia wa Nchi zao. Mfano Marekani ni kinara wa kupigana au kuzichapa Nchi ambazo ni tishio kwake kiusalama.

Lakn huwezi kuona marekani ikipigana na Nchi mfano ilivyokuwa Cuba. kadhalika ukiangalia Rusia ktk uvamizi wake Ukraine alihakikisha vita haipiganwi ktk Ardhi yake. Sasa huyu Muizrael hata kama alishauriwa na kaka mkubwa alishindwa nini kuongeza na za kwake? Au za kwake hazitoshi hivyo anatumia za kuambiwa peke yake??

HALAFU KILA PIGO LA IRAN LINAFIKA MOJA KWA MOJA KWAKE... NI UJINGA KIASI GANI KUANZISHA VITA HALAFU KUMBE HUNA UWEZO WA KUJIKINGA NA MADHARA YAKE.

Mataifa mengine yajifunze kwa AMERICA.
Yaan unajifanya una akili na unajiona umefanya uchambuzi bora kabisa kuliko waisrael wenyewe wanaopigana dhidi ya adui aisee
 
Kwa hiyo wewe ndiye umeishi muda mrefu kuliko taifa la Israel,ulionao hatari ya Iran kuwa tishio kwa Israel,umetafakari sana kuliko Israel,ukachambua faida na hasara za vita hiyo kuliko Israel na ulishayajua malengo halisi ya Israel kuhusu hiyo vita?
 
Umepandikizwa chuki ya kidini na watu wenye akili zaidi yako Ili uendelee kuwa msukule wao

Wewe nani aliyekudanganya kuwa vita ya Israel na Irani ni vita ya kidini?

Inamaana wewe ni mbumbu kiasi kwamba haujui kuwa hi vita ni ya kisiasa na kiuchumi

Alafu hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona katika hizo nchi mbili wewe hakuna unayofanana nayo dini?

Acha chuki za kijinga za kuambiwa changanya na zako
Kwani wewe unaumia nini kuona kobazi wakinyooshwa!!
 
Back
Top Bottom