Israel kuivamia Iran, imefanya uamuzi wa kijinga

Israel kuivamia Iran, imefanya uamuzi wa kijinga

Yaan unajifanya una akili na unajiona umefanya uchambuzi bora kabisa kuliko waisrael wenyewe wanaopigana dhidi ya adui aisee
Taifa lolote lenye viongozi makini haliwezi kuingia vitani kwasababu za kijinga kama za Israel
 
Hadi muuza vitumbua unajiita uchambuzi... tatizo unadandia kitu usichokijua, Israelna USA hawana nia ya kupindua utawala uliopo Bali wanapiga Iran ili kudhoofisha umikiki wa silaha za nuclear.
Dunia haitakubali huyu gaidi amiliki silaha hatari za atomic ebu fikiria kikundi kama hamas, Hezbollah,houthi wakiwa na hizo silhana hii dunia itakuaje
kwahiyo mtu akiwa muuza vitumbua hawezi kuwa mtaalamu wa jambo fulan
 
Kwa hiyo wewe ndiye umeishi muda mrefu kuliko taifa la Israel,ulionao hatari ya Iran kuwa tishio kwa Israel,umetafakari sana kuliko Israel,ukachambua faida na hasara za vita hiyo kuliko Israel na ulishayajua malengo halisi ya Israel kuhusu hiyo vita?
ukisoma tena na tena nilichokiandika utaelewa
 
Ukifuatilia historia kati ya Israel na Iran utagundua kuwa ugomvi wao ni wa kihistoria,kama utakuwa umesoma kisa cha Hamani aliyetoa waraka wa kuwaangamiza wayahudi wote,utagundua kuwa Iran ndiye mchokozi na mwanzilishi wa vita vyote vinavyoendelea.

Kuanzia kipindi hicho cha akina Haman mpaka sasa Iran hajawahi kuacha nia yake ya kulifuta taifa la Israel,mashambulizi yote yanayofanywa na vikundi vyote vya Hezbollah, Hama's,na kile cha Yemen vinavyoishambulia Israel,ni Iran inaishambulia Israel kwa kutumia vikundi hivyo.

Kwa nia ileile ya kutaka kuwaangamiza wayahudi Iran imekusudia kutengeneza silaha za nuclear ambazo ni hatari zaidi na zinazoangamiza zaidi ya silaha zinazoipiga Israel hivi sasa.

Israel imeamua kujibu kile kinachofanywa na Iran kupitia nyuma ya mgogo wa Hama's,Hezbollah na Yemen kwa kuishambulia Iran moja kwa moja kwa ajili ya kujihami na kyama cha kushambuliwa na silaha za nuclear endapo Iran ambayo adhima yake ni kulifuta taifa la Israel itaachiwa nafasi ya kumiliki silaha hizo.
 
Umepandikizwa chuki ya kidini na watu wenye akili zaidi yako Ili uendelee kuwa msukule wao

Wewe nani aliyekudanganya kuwa vita ya Israel na Irani ni vita ya kidini?

Inamaana wewe ni mbumbu kiasi kwamba haujui kuwa hi vita ni ya kisiasa na kiuchumi

Alafu hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona katika hizo nchi mbili wewe hakuna unayofanana nayo dini?

Acha chuki za kijinga za kuambiwa changanya na zako
sina hakika kama jamaa ametaja dini kabisa.
 
Hali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete.

Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia vitani baada ya kushindikana kufikia muafaka ktk mazungumzo kuhusu Silaha za nyuklia. Ktk Bandiko langu hili nitajikita kuikosoa Izrael kwa kuanzisha Vita hii bila kujali hatari kwa raia wake.
Hapa wanaizrael wote mnapaswa kukubali kukosea, na sema wote kwasababu wapo waizrael wa Bonyokwa na wa kule Tel Aviv.

Ukichunguza Mataifa yote Duniani yanayoanzisha vita dhidi ya mataifa mengine kwasababu za kulinda usalama wake, Mataifa hayo huhakikisha vita hiyo haipiganwi ktk ardhi zao. Na hufanya hivyo kwa lengo la kukwepa madhara ya vita ya moja moja kwa Raia wa Nchi zao. Mfano Marekani ni kinara wa kupigana au kuzichapa Nchi ambazo ni tishio kwake kiusalama.

Lakn huwezi kuona marekani ikipigana na Nchi mfano ilivyokuwa Cuba. kadhalika ukiangalia Rusia ktk uvamizi wake Ukraine alihakikisha vita haipiganwi ktk Ardhi yake. Sasa huyu Muizrael hata kama alishauriwa na kaka mkubwa alishindwa nini kuongeza na za kwake? Au za kwake hazitoshi hivyo anatumia za kuambiwa peke yake??

HALAFU KILA PIGO LA IRAN LINAFIKA MOJA KWA MOJA KWAKE... NI UJINGA KIASI GANI KUANZISHA VITA HALAFU KUMBE HUNA UWEZO WA KUJIKINGA NA MADHARA YAKE.

Mataifa mengine yajifunze kwa AMERICA.
Natanyahu kaivamia irani ili ajiokoe yeye mwenyewe maana alikuwa afungwe kwa kesi ya ufisadi,sasa njia ya kujiokoa ndio hiyo kuzusha nita isiyokuwa na msingi wowote
 
Ukifuatilia historia kati ya Israel na Iran utagundua kuwa ugomvi wao ni wa kihistoria,kama utakuwa umesoma kisa cha Hamani aliyetoa waraka wa kuwaangamiza wayahudi wote,utagundua kuwa Iran ndiye mchokozi na mwanzilishi wa vita vyote vinavyoendelea.

Kuanzia kipindi hicho cha akina Haman mpaka sasa Iran hajawahi kuacha nia yake ya kulifuta taifa la Israel,mashambulizi yote yanayofanywa na vikundi vyote vya Hezbollah, Hama's,na kile cha Yemen vinavyoishambulia Israel,ni Iran inaishambulia Israel kwa kutumia vikundi hivyo.

Kwa nia ileile ya kutaka kuwaangamiza wayahudi Iran imekusudia kutengeneza silaha za nuclear ambazo ni hatari zaidi na zinazoangamiza zaidi ya silaha zinazoipiga Israel hivi sasa.

Israel imeamua kujibu kile kinachofanywa na Iran kupitia nyuma ya mgogo wa Hama's,Hezbollah na Yemen kwa kuishambulia Iran moja kwa moja kwa ajili ya kujihami na kyama cha kushambuliwa na silaha za nuclear endapo Iran ambayo adhima yake ni kulifuta taifa la Israel itaachiwa nafasi ya kumiliki silaha hizo.
Umeropoka sana tena uongo mwingi.
Mie nitakurekebisha huko chini tu,maafisa wa IAEA wamesema Iran Haina haja ya kuunda silaha za nuke.
Na Ayatollah Khamenei alikataa kutoa ruhusa ya kuunda silaha za maangamizi alidai dini airuhusu.
Muwe mnafanya tafiti kabla ya KUROPOKA.
 
Nilichosema kwa kuropoka kwa mjibu wako ndio ukweli wenyewe ulichosema we we pasipo kuropoka ndio uongo wenyewe,kama unashindwa kujua hata hili la Iran kufadhiri vikundi vya ugaidi kuishambulia Israel ukweli wako uko wapi?hill la kusema kuwa Ayatollah alikataa kutoa ruhusa ya kuunda silaha za maangamizi kwa madai kuwa dini hairuhusu ndio ukweli wako?wakati zipo nchi za dini ya Ayatollah zinamiliki silaha za nuclear.
 
Wewe na Mr.Grossi mkuu wa IAEA nani anasema ukweli??
Embu nenda kamsome Grossi hata asubuhi hii aliongea niliyosema hapo juu.
Endelea kuropoka tena,ukikosea kubali kuelekezwa.
Grossi alisema wazi kabisa Iran ilikatazwa na Supreme leader kuunda Nuke weapons na hiyo ripoti ndio wako nayo sasa IAEA.
Nenda kabishane nao.
 
Back
Top Bottom