Israel kuivamia Iran, imefanya uamuzi wa kijinga

Israel kuivamia Iran, imefanya uamuzi wa kijinga

Nilichosema kwa kuropoka kwa mjibu wako ndio ukweli wenyewe ulichosema we we pasipo kuropoka ndio uongo wenyewe,kama unashindwa kujua hata hili la Iran kufadhiri vikundi vya ugaidi kuishambulia Israel ukweli wako uko wapi?hill la kusema kuwa Ayatollah alikataa kutoa ruhusa ya kuunda silaha za maangamizi kwa madai kuwa dini hairuhusu ndio ukweli wako?wakati zipo nchi za dini ya Ayatollah zinamiliki silaha za nuclear.
HAYA TUFANYE IRAN ANAZO HIZO SILAHA, TUTHIBITISHIE KWAMBA AMERICA HANA HIZO SILAHA PIA. HALAFU TUTAENDELEA...
Yaani wewe mtu wa Ikwiriri ndiye unaifanyia analysis Israel taifa kubwana imara namna Ile! Shamba kweli.
Iran ni Taifa kubwa?
 
Back
Top Bottom