Ndio maana kila siku tunasema dini zinachangia chuki kuliko amaniNi furaha kubwa sana kwetu watanzania kuona Makobaz wakinyooshwa
Hii yako pia ni Comment ya kijinga...Kwan Israel wamekuja kukulalamikia madhara wanayopata huko?
Unasafari ndefu sana kujinasua ktk kifungo cha ImaniNi furaha kubwa sana kwetu watanzania kuona Makobaz wakinyooshwa
Umepandikizwa chuki ya kidini na watu wenye akili zaidi yako Ili uendelee kuwa msukule waoNi furaha kubwa sana kwetu watanzania kuona Makobaz wakinyooshwa
Unakazwa Ww, wap mm nmezungumzia dini?Umepandikizwa chuki ya kidini na watu wenye akili zaidi yako Ili uendelee kuwa msukule wao
Wewe nani aliyekudanganya kuwa vita ya Israel na Irani ni vita ya kidini?
Inamaana wewe ni mbumbu kiasi kwamba haujui kuwa hi vita ni ya kisiasa na kiuchumi
Alafu hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona katika hizo nchi mbili wewe hakuna unayofanana nayo dini?
Acha chuki za kijinga za kuambiwa changanya na zako
Inasikitisha sana mkuuNdio maana kila siku tunasema dini zinachangia chuki kuliko amani
Imani ipi hy nijinasue nayoUnasafari ndefu sana kujinasua ktk kifungo cha Imani
KabisaInasikitisha sana mkuu
Sasa imegeuka kobazi anatoa kif*ro😂😂Ni furaha kubwa sana kwetu watanzania kuona Makobaz wakinyooshwa
Pigo linafika TehranHALAFU KILA PIGO LA IRAN LINAFIKA MOJA KWA MOJA KWAKE...
Yaan unajifanya una akili na unajiona umefanya uchambuzi bora kabisa kuliko waisrael wenyewe wanaopigana dhidi ya adui aiseeHali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete.
Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia vitani baada ya kushindikana kufikia muafaka ktk mazungumzo kuhusu Silaha za nyuklia. Ktk Bandiko langu hili nitajikita kuikosoa Izrael kwa kuanzisha Vita hii bila kujali hatari kwa raia wake.
Hapa wanaizrael wote mnapaswa kukubali kukosea, na sema wote kwasababu wapo waizrael wa Bonyokwa na wa kule Tel Aviv.
Ukichunguza Mataifa yote Duniani yanayoanzisha vita dhidi ya mataifa mengine kwasababu za kulinda usalama wake, Mataifa hayo huhakikisha vita hiyo haipiganwi ktk ardhi zao. Na hufanya hivyo kwa lengo la kukwepa madhara ya vita ya moja moja kwa Raia wa Nchi zao. Mfano Marekani ni kinara wa kupigana au kuzichapa Nchi ambazo ni tishio kwake kiusalama.
Lakn huwezi kuona marekani ikipigana na Nchi mfano ilivyokuwa Cuba. kadhalika ukiangalia Rusia ktk uvamizi wake Ukraine alihakikisha vita haipiganwi ktk Ardhi yake. Sasa huyu Muizrael hata kama alishauriwa na kaka mkubwa alishindwa nini kuongeza na za kwake? Au za kwake hazitoshi hivyo anatumia za kuambiwa peke yake??
HALAFU KILA PIGO LA IRAN LINAFIKA MOJA KWA MOJA KWAKE... NI UJINGA KIASI GANI KUANZISHA VITA HALAFU KUMBE HUNA UWEZO WA KUJIKINGA NA MADHARA YAKE.
Mataifa mengine yajifunze kwa AMERICA.
Kwa hiyo wewe ndiye umeishi muda mrefu kuliko taifa la Israel,ulionao hatari ya Iran kuwa tishio kwa Israel,umetafakari sana kuliko Israel,ukachambua faida na hasara za vita hiyo kuliko Israel na ulishayajua malengo halisi ya Israel kuhusu hiyo vita?Hali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete.
Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia vitani baada ya kushindikana kufikia muafaka ktk mazungumzo kuhusu Silaha za nyuklia. Ktk Bandiko langu hili nitajikita kuikosoa Izrael kwa kuanzisha Vita hii bila kujali hatari kwa raia wake.
Hapa wanaizrael wote mnapaswa kukubali kukosea, na sema wote kwasababu wapo waizrael wa Bonyokwa na wa kule Tel Aviv.
Ukichunguza Mataifa yote Duniani yanayoanzisha vita dhidi ya mataifa mengine kwasababu za kulinda usalama wake, Mataifa hayo huhakikisha vita hiyo haipiganwi ktk ardhi zao. Na hufanya hivyo kwa lengo la kukwepa madhara ya vita ya moja moja kwa Raia wa Nchi zao. Mfano Marekani ni kinara wa kupigana au kuzichapa Nchi ambazo ni tishio kwake kiusalama.
Lakn huwezi kuona marekani ikipigana na Nchi mfano ilivyokuwa Cuba. kadhalika ukiangalia Rusia ktk uvamizi wake Ukraine alihakikisha vita haipiganwi ktk Ardhi yake. Sasa huyu Muizrael hata kama alishauriwa na kaka mkubwa alishindwa nini kuongeza na za kwake? Au za kwake hazitoshi hivyo anatumia za kuambiwa peke yake??
HALAFU KILA PIGO LA IRAN LINAFIKA MOJA KWA MOJA KWAKE... NI UJINGA KIASI GANI KUANZISHA VITA HALAFU KUMBE HUNA UWEZO WA KUJIKINGA NA MADHARA YAKE.
Mataifa mengine yajifunze kwa AMERICA.
Kwani wewe unaumia nini kuona kobazi wakinyooshwa!!Umepandikizwa chuki ya kidini na watu wenye akili zaidi yako Ili uendelee kuwa msukule wao