Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
jamaa baada ya kutukana wayahudi, amepigwa mshale toka mbinguni, sasaivi kaungana na mood wanaota moto wa jehanum.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahaba niue......... Mtajua wenyeweRaia wepi ambao putin hajapiga na ni siraha ipi putin alibakiza labda nuclear tu
waarabu wenzako wameshakubali kwamba, miongoni mwa wale waliokamatwa, wapo magaidi ya hamas yalivyovamia siku ile. ila wewe mndengereko unakuja na story zako. wale watabadislishana muda si mrefu na mateka na watarudi. jino kwa jino. 30% ya wale waliokamatwa wamekuwa confirmed walikuwa magaidi, na kama hawatachinjwa basi watapata adhabu kifungo cha maisha, au ala watabadilishana mateka.Mayahudi bhana!! Wanakamata hovyo Wapalestina wa watu mitaani! Wanawavua nguo, wanawapigisha magoti na kuwafunga vitambaa usoni! Halafu wanasambaza picha zao mitandaoni, na kuwaaminisha watu eti hao ni Hamas!!! 😁
Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF.
Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali.
Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani hata kidogo.
Ikiwa inakaribia kutimia miaka miwili tangu mgogoro Urusi na Ukraine uanze tumeshuhudia mengi sana katika huu mgogoro lakini kubwa ni kuona Urusi bado anaendelea kupambana kutimiza malengo yake ya military operation aliyoianzisha. Kwa wale pro Nato wamesema mengi sana ambayo siwezi kuandika hapa lakini kubwa kuliko yote ni Udhaifu wa Rusia katika operation hiyo.
Russia anapambana na nchi kubwa sana ulaya ambayo ina silaha nzito alizorithi kutoka Soviet lakini pia back up kubwa anayopewa kutoka nchi za Ulaya na Marekani.
Lakini Urusi bado anaendelea kupambana licha ya vikwazo alivyowekewa.
Kwa upande mwingine pale middle east kumezuka vita nyingine baina ya Israel na Hamas (from Gaza) ambayo inakaribia kutimia miezi 3 sasa tangu ianze, ikumbukwe Israel ilitangaza vita dhidi ya Hamas na sio oparesheni kama kule Urusi hivyo Israel aliingia na nguvu zake zote.
Wengi wetu tuliamini kwa uwezo wa IDF na uwezo wa MOSSAD kwa upande wa intelijensia tulitegemea Israel angemalizana na Hamas ndani ya siku 4 lakini naona imekuwa tofauti.Israel imekuwa inasifiwa sana hapa jukwaani kwa ubora wake katika mbinu na silaha alizokuwa nazo za kisasa.
Tumeona Israel ikingiza Air force yake Gaza na kutoka kadri anavyotaka, Swali kujiuliza Hamas wangekuwa na Ulinzi wa anga kama alivyo Ukraine angeweza kuingia na kutoka?
Maswali ni mengi. Lakini swali la msingi linabaki kuwa. Kama Israel angeingia vitani na Ukraine angeweza kutoboa kwa kuzingatia performance anayoionyesha pale Gaza(Kaeneo kadogo kama wilaya ya kigamboni).
Karibuni kwa majadiliano
Kusingekuwa na vyombo vya habari Israel angekuwa ameshafuta mavumbi na kuondoka Gaza.
sasa ndio ujue how far they can goSasa vyombo vya habari vinazuia nn mbona anashambulia hospital na makazi ya raia
Tunasema wameshindwa kwa kuangalia objective zao kabla na baada ya kutangaza vita dhidi ya Hamas.Baadhi ya objective zilikuwa ni kuokoa mateka na kuwamaliza hamas pamoja na kuikalia Gaza.Hizo objective hapo juu hakuna hata moja iliyotumika hadi imefika hatua anafanya negotiations magaidi inaonekana ameshindwa in military perspectivesasa wewe mwanasesere mmoja wa gongolamboto huko kipi ulichoweza? kweli leo mtu mwenye akili timamu anakuja kusema Israel imewashindwa Hamas? wakati wamekamatwa hadi wanatembezwa na chupi tupu wanaume wazima?
Bado hiyo sio sababu ya kutoa.Hamas wanapopatikana wanajulikana vizuri tu lakini network yao yote inafahamika kumbuka Israel ameikalia palestina kwa muda mrefu so anajua mambo mengi paleRahisi vita kati ya jeshi na jeshi kuliko jeshi na mgambo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
😄 🤣 😂Kusingekuwa na vyombo vya habari Israel angekuwa ameshafuta mavumbi na kuondoka Gaza.
RPG Hamas anazotumia kupiga vifaru vya Israel vimetengenezwa urusi acheni unafiki na uwongoHamas ana miliki home made weapons ambazo sio silaha nzito hata kidogo ana miundombinu dhaifu ya intelijensia kwenye kupata taarifa ikilinganishwa na Ukraine ambaye anapewa intelligence na NATO.Lakini bado Israel ameshindwa kumaliza hii vita ndo hapo kunapozua maswali mengi kuhusu uimara wake
Zitaje hizo RPG za Urusi zinazo tumiwa na hamas.RPG Hamas anazotumia kupiga vifaru vya Israel vimetengenezwa urusi acheni unafiki na uwongo
Umeongea vyema kabisa.Putin angetaka kupiga na raia kama anavyofanya israel angemaliza oparesheni fasta.............
kwahiyo Urusi ni dhaifu aliyekubali amani na chechenyia baada ya kushindwa kuwamaliza ?Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF.
Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali.
Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani hata kidogo.
Ikiwa inakaribia kutimia miaka miwili tangu mgogoro Urusi na Ukraine uanze tumeshuhudia mengi sana katika huu mgogoro lakini kubwa ni kuona Urusi bado anaendelea kupambana kutimiza malengo yake ya military operation aliyoianzisha. Kwa wale pro Nato wamesema mengi sana ambayo siwezi kuandika hapa lakini kubwa kuliko yote ni Udhaifu wa Rusia katika operation hiyo.
Russia anapambana na nchi kubwa sana ulaya ambayo ina silaha nzito alizorithi kutoka Soviet lakini pia back up kubwa anayopewa kutoka nchi za Ulaya na Marekani.
Lakini Urusi bado anaendelea kupambana licha ya vikwazo alivyowekewa.
Kwa upande mwingine pale middle east kumezuka vita nyingine baina ya Israel na Hamas (from Gaza) ambayo inakaribia kutimia miezi 3 sasa tangu ianze, ikumbukwe Israel ilitangaza vita dhidi ya Hamas na sio oparesheni kama kule Urusi hivyo Israel aliingia na nguvu zake zote.
Wengi wetu tuliamini kwa uwezo wa IDF na uwezo wa MOSSAD kwa upande wa intelijensia tulitegemea Israel angemalizana na Hamas ndani ya siku 4 lakini naona imekuwa tofauti.Israel imekuwa inasifiwa sana hapa jukwaani kwa ubora wake katika mbinu na silaha alizokuwa nazo za kisasa.
Tumeona Israel ikingiza Air force yake Gaza na kutoka kadri anavyotaka, Swali kujiuliza Hamas wangekuwa na Ulinzi wa anga kama alivyo Ukraine angeweza kuingia na kutoka?
Maswali ni mengi. Lakini swali la msingi linabaki kuwa. Kama Israel angeingia vitani na Ukraine angeweza kutoboa kwa kuzingatia performance anayoionyesha pale Gaza(Kaeneo kadogo kama wilaya ya kigamboni).
Karibuni kwa majadiliano
hujaelewa lolote , sio nyuklia , Israel anahofia sheria za vita ila hamas hawajali hilo , hamas wakikushika wanakuua bila kujal ww ni nan ila israel akifanya hivyo kelele ni nying maana wao wanatambulika na sheria za kimataifaHata Urusi akitaka ana weza kuigeuza Ukraine kichwa chini miguu juu ndani ya nusu saa tu hivyo hoja yako haina mashiko.
Russia inapigana kwa uangalifu sana ingelikuwa inapigana hovyo hovyo kama Israeli kwa drone si mambo yangekuwa hovyo hovyoUmeongea vyema kabisa.