Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

Mayahudi bhana!! Wanakamata hovyo Wapalestina wa watu mitaani! Wanawavua nguo, wanawapigisha magoti na kuwafunga vitambaa usoni! Halafu wanasambaza picha zao mitandaoni, na kuwaaminisha watu eti hao ni Hamas!!! 😁
 
Mayahudi bhana!! Wanakamata hovyo Wapalestina wa watu mitaani! Wanawavua nguo, wanawapigisha magoti na kuwafunga vitambaa usoni! Halafu wanasambaza picha zao mitandaoni, na kuwaaminisha watu eti hao ni Hamas!!! 😁
waarabu wenzako wameshakubali kwamba, miongoni mwa wale waliokamatwa, wapo magaidi ya hamas yalivyovamia siku ile. ila wewe mndengereko unakuja na story zako. wale watabadislishana muda si mrefu na mateka na watarudi. jino kwa jino. 30% ya wale waliokamatwa wamekuwa confirmed walikuwa magaidi, na kama hawatachinjwa basi watapata adhabu kifungo cha maisha, au ala watabadilishana mateka.
 

Mleta mada umeleta mada nzuri sana kuliko unavyofikiri, mimi mwenyewe nilifubazwa na vyombo vya taharifa vya western juu ya uwezo wa hali ya juu wa israel ujasusi na kivita, kumbe nilikua najidanganya aisee

Vita sio movie za Hollywood ndugu zangu

Kule russia alivyoivamia ukraine, pale USA na Western walivyowela yale mavikwazo hasa ya Swift, nilisema sasa Russia kwisha habari yake, hatoweza endelea na vita itampasa akae mezani na Ukraine ila Russia imeniprove wrong

Wengi wetu tumearibiwa na movie za hollywood na western propaganda, uhalisia haupo ivyo
 
sasa wewe mwanasesere mmoja wa gongolamboto huko kipi ulichoweza? kweli leo mtu mwenye akili timamu anakuja kusema Israel imewashindwa Hamas? wakati wamekamatwa hadi wanatembezwa na chupi tupu wanaume wazima?
Tunasema wameshindwa kwa kuangalia objective zao kabla na baada ya kutangaza vita dhidi ya Hamas.Baadhi ya objective zilikuwa ni kuokoa mateka na kuwamaliza hamas pamoja na kuikalia Gaza.Hizo objective hapo juu hakuna hata moja iliyotumika hadi imefika hatua anafanya negotiations magaidi inaonekana ameshindwa in military perspective
 
Kilichopo mdomoni na kwenye makaratasi Ni tofauti na Hali halisi iliyoko battlefield. Ukikutana na wachambuzi mahaba Kama T14 Armata, HIMARS na Proved utakuta wakimnanga Urusi kwa upinzani alioupata Ukraine. Lakini wakati huo wakishindwa kuinanga the overated IDF ambayo tuliaminishwa ikitia mguu Ukraine lazima iikarishe chini Urusi.

Tena utakuta wachambuzi mahaba hawa wakisema Urusi amezidiwa hadi akafanya mobilization, lakini wanashindwa kusema mbona Israel nae kafanya mobilization ya raia laki 3 wakati anapambana na kikundi kidogo cha Hamas, je Israel nae kazidiwa hadi kufanya mobilization?

Anyway tukiacha mahaba niuwe, Kile kinachotokea uwanja wa vita ni tofauti na movie za akina Rambo, so don't underestimate your enemy.
 
Kusingekuwa na vyombo vya habari Israel angekuwa ameshafuta mavumbi na kuondoka Gaza.
😄 🤣 😂

Nchi zingine zijaribu kuwauwa watu wake vile ingewekewa vikwazo, huyu anauwa watoto na hafanywi kitu nabado anapewa silaha.

Hakuna taifa dhaifu duniani kama Israel mimi namini hata JWTZ tunamchapa Israel kwa ile mizinga ya saba saba
 
Israel anashindwa kutumia nguvu zake zote kwasababu Hamas anajificha kwa wapalestina watoto na wanawake anawatumia kama ngao na wafia dini mnazidisha kelele za kuituhumu Israel inaua wanawake na watoto utafikiri Hamas hawauawi , ila hamas wakimuua hata waisrael wawili mnawapongeza dunia nzima Israel ikiwaua Hamas ni wanawake na watoto
 
RPG Hamas anazotumia kupiga vifaru vya Israel vimetengenezwa urusi acheni unafiki na uwongo
 
kwahiyo Urusi ni dhaifu aliyekubali amani na chechenyia baada ya kushindwa kuwamaliza ?
 
Hata Urusi akitaka ana weza kuigeuza Ukraine kichwa chini miguu juu ndani ya nusu saa tu hivyo hoja yako haina mashiko.
hujaelewa lolote , sio nyuklia , Israel anahofia sheria za vita ila hamas hawajali hilo , hamas wakikushika wanakuua bila kujal ww ni nan ila israel akifanya hivyo kelele ni nying maana wao wanatambulika na sheria za kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…