unaamin kuwa hamas wanaweza iteka afrika nzima ? ukizitoa nchi kiarab kaskazin na SA , waliobakia wote wakiungana kwa hamas wanasanda ndio maana walimuua Mollel bila hofuHamas angekiwa na asilimia 10 tu ya silaha alizo nazo Ukraine ,sasa hivi wangekuwa Telaviv wana kunywa kahawa na akina Netanyau wangekuwa wamesha kimbilia Marekani.
Kuna Sheria gani ya vita ambayo Israel hajaivunja mpaka sasa?hujaelewa lolote , sio nyuklia , Israel anahofia sheria za vita ila hamas hawajali hilo , hamas wakikushika wanakuua bila kujal ww ni nan ila israel akifanya hivyo kelele ni nying maana wao wanatambulika na sheria za kimataifa
Israeli siju kama anajua hizo sheria kama zipo achilia mbali kuziheshimu ..Israeli hata akiona shimo la nyoka anamini ni handakihujaelewa lolote , sio nyuklia , Israel anahofia sheria za vita ila hamas hawajali hilo , hamas wakikushika wanakuua bila kujal ww ni nan ila israel akifanya hivyo kelele ni nying maana wao wanatambulika na sheria za kimataifa
Hamas ana miliki home made weapons ambazo sio silaha nzito hata kidogo ana miundombinu dhaifu ya intelijensia kwenye kupata taarifa ikilinganishwa na Ukraine ambaye anapewa intelligence na NATO.Lakini bado Israel ameshindwa kumaliza hii vita ndo hapo kunapozua maswali mengi kuhusu uimara wake
😂😂😂Israel is over rated .
Unajua Gaza strip is 10km upande wa juu. Urefu wa 40 km na kule chini Ni 13 km.
Yaani kaeneo fulani hata Kinondoni Ni kubwa. Gaza haina jeshi, maji, chakula etc lakini wanawatoa kamasi watu wenye jeshi, chakula, maji, huku wakisaidiwa na mataifa makubwa ya magrib. Gaza Ina pop ya 2.3 million wakati Israel Ina over 6m.
Leo siku ya sabini na ushee Hamas bado wamedindisha hata taulo unaweza kuandika.
Juzi urusi kavurumusha makombora Ukraine kaua raia 39 ila husikii kelele za wafia dini kuhusu vifo vya waukraine zaidi wanamtetea Putin kinafiki eti hauiwi raia vipi kule Bucha wale raia halaiki walioteswa,kubakwa kuuawa na magaidi wa Putin mlikuwa mmevaa miwani ya mbaoRussia inapigana kwa uangalifu sana ingelikuwa inapigana hovyo hovyo kama Israeli kwa drone si mambo yangekuwa hovyo hovyo
Kama ww unavyo jiona una haki ya kutetea mauaji ya wapalestina basi na wenzako wana haki kumtetea mauaji ya Waukiraine hivyo punguza ujinga,kila mtu aamini kile kinacho mpa furaha moyoni kwake.Juzi urusi kavurumusha makombora Ukraine kaua raia 39 ila husikii kelele za wafia dini kuhusu vifo vya waukraine zaidi wanamtetea Putin kinafiki eti hauiwi raia vipi kule Bucha wale raia halaiki walioteswa,kubakwa kuuawa na magaidi wa Putin mlikuwa mmevaa miwani ya mbao
Rpg inaweza kubomoa kifaru?RPG Hamas anazotumia kupiga vifaru vya Israel vimetengenezwa urusi acheni unafiki na uwongo