matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza.
Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na vyakula. Na walikuwa wanaungana mkono na kundi la Muslim brotherhood ambalo lilikuwa linakampeni ya kichinichini kuua viongozi mbalimbali wa kijeshi. Huko Sinai hii njia ilifanikiwa.
Wachambuzi wanaona kuna faida ya njia hii maana ukitumia mabomu unaongeza hatari ya kuendelea kuua raia. Ila hasara kuna uwezekano hata mateka wamefichwa humo chini maana hapaingiliki kizembe. Watawaua humo na pia ili hayo majo yafanye kazi inabidi wajue geography ya hizo tunnels.