Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza.
Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na vyakula. Na walikuwa wanaungana mkono na kundi la Muslim brotherhood ambalo lilikuwa linakampeni ya kichinichini kuua viongozi mbalimbali wa kijeshi. Huko Sinai hii njia ilifanikiwa.
Wachambuzi wanaona kuna faida ya njia hii maana ukitumia mabomu unaongeza hatari ya kuendelea kuua raia. Ila hasara kuna uwezekano hata mateka wamefichwa humo chini maana hapaingiliki kizembe. Watawaua humo na pia ili hayo majo yafanye kazi inabidi wajue geography ya hizo tunnels.
Hizo tunnels zenywe wanazijua??? Kama wanapiga hospital na kusema kuna tunnels inamaana wanaotea hawana uhakika na hawajui....mpaka sasa hivi wamechezea kichapo cha hatari walichofanikiwa ni kubomoa manyumba na kuua wanawake na watoto
We tamba tu kujidai kumkuza Natanyahu kama Mungu, lakini ukifika kaburini ndio utafahamu ukristo umekupeleka pabaya sana, we jidanganye tu ukifa eti umekufa pale kaburini pale kuna maisha Firauni ndio anapafahumu vizuri
Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza.
Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na vyakula. Na walikuwa wanaungana mkono na kundi la Muslim brotherhood ambalo lilikuwa linakampeni ya kichinichini kuua viongozi mbalimbali wa kijeshi. Huko Sinai hii njia ilifanikiwa.
Wachambuzi wanaona kuna faida ya njia hii maana ukitumia mabomu unaongeza hatari ya kuendelea kuua raia. Ila hasara kuna uwezekano hata mateka wamefichwa humo chini maana hapaingiliki kizembe. Watawaua humo na pia ili hayo majo yafanye kazi inabidi wajue geography ya hizo tunnels. View attachment 2822887
Hao mbumbumbu tu kieneo kidogo kama gaza ushindwe kuwaokoa watu 200 wanaoshikiliwa na mgambo, wawe serious kidogo siyo kutudanganya na movie zao kumbe weupe tu