Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Unakuta MTU na akili zake timamu anakuambia Israeli taifa teule ,How!
Teula kwa maana kuwa katika mataifa yote huko ndiko mwokozi Bwana Yesu mwokozi wa ulimwengu ndiko aliko zaliwa na wokovu ulitokea Israel kwa Yesu mwenyewe.
 
Israeli wanashambulia hayo maeneo bila sababu?🤔
 
Kula ushibe kijana, kazi ni pevu
 
Hata kama cjafika lakini kama ukubwa wenyewe tu ni kama wilaya ya bagamoyo na population yake ni watu 2.3milioni kuna poli hapo??!
Nani kakuambia hakuna pori kwani pori linauhisika na population.

Yani we akili zako kama waisrael walijenga ukuta wakaweka camera zinaelekea karibu kila jumba la wa Palestine pale Gaza wameshindwa ona ukuta unavunjwa.

Israel hakuweza ona Magari na pikipiki na silaha za Hamasi zikingia ndani ya Israel mtaweza ona silaha kwenye Majumba ya wa Palestine 😂

Afu mungu wa bibilia si alisema hakuna taifa linaweza mzuru muisrael alikuwa wapi Hamasi alipo ingia barracks nne nakuwauwa wanajeshi wote wengine walikimbilia mpaa chooni, haukuona au unajitoa akili 😂
 
Hapa Hamas walihusika kwa 100%.Misfire,wenye akili wanafahamu.Ili ninyi mliozoea kulishwa Matango pori endeleeni kuamini🤔
Hakuweza ona ukuta alio jenga akaone missile ya Aljihad Al Islam eti imejam 😂

Israel kachezea kichapo kambi nne za jeshi hakuna aliye baki ila wale walio jificha chooni au chini ya meza za jikoni 😂

Zaidi ya askari 5000 wameuliwa kwa mdaa wa masaa mawili tu 😂
 
Ndio hapo sasa mkae mtulie zamu hii kichapo sio kile cha kawaida!! Hata mkiwaachia mateka wote bado tu haitawasaidia!! Na kilio cha samaki....
 
Kama Israeli wameuwawa na wanaendelea kuuwawa sasa mnalalamika nini?Si ni vizuri vita iendelee ili waIsraeli ambao hamuwapendi waendelee kuuwawa ?Wazee wa makobazi na vipedo bhana 🤔
 
Amen, amen. Mungu ibariki Israel.
 
kuna uwezekano mkubwa wanamtafuta iran, kwasababu israel ameshasema raia wake waondoke kaskazini mwa israel, na hamas hana tofauti na hezbollah, akimaliza hamas, hawezi kukubali abaki na mzimu wa hezbollah, na akianza kupiga hezbollah tu anajua atakuwa amegusa mboni ya jicho la iran, iran angeweza kujibu mapigo, hapo ndipo ungekuwa mwisho wa iran. mark my words. huwezi kuleta masilaha mengi naman ile, madondosha ndege, madondosha makombora makubwa, madege mengi vile kwa ajili ya hamas ambao jeshi la israel peke yake wanamudu, hata hezbolah israel hahitaji msaada wowote, kwanza sasaivi ni marekani tu anamwomba asiingie Gaza ila vijana walishajiandaa kuingia hata sasa wakaokoe ndugu zao na kufuta kabisa hamas.
 
Magaidi yanawahishwa kwa mungu wao ala yakapewe bikra,halafu wafuasi wao wanabaki kulialia humu.
kenge huwa haelewi hata apigwe damu zimtoke kila pahala na hata hivyo bado hawatoelewa hawa.....itoshe tu kusema wakati israel akivamiwa wa mudi walifurahi sanaaaa allah takbir zilikuwa nyiiiiing sasa hivi malalamiko meengi oh palestina anaonewa na bado vita kamili haijaanza bado hii ni trailer tu
 

Hapana . Nchi inayoitwa Israel. Israel itaondoka aidha wakitaka wenyewe au wakifukuzwa.

Kama unachosema ni kweli lete dalili ya kihistoria.
 
Sasa hayo mahandaki yapo hewani?!! Vita ya urusi unaifananishaje na ya Gaza? Mrusi anajua kuwa wanajeshi wa ukraine wako wapi, sasa hao Hamas wanaonekana wako wapi?!! Eti taifa la Israel liko mwishoni hahaaaa!! Acha watoe kipondo,

Upo serious?
 
Hapo bado mpaka pawe magofu na ukiwa,Israel Taifa la Mungu,,jifanye uelewi kama wenzako,
Unaposema Israel ni Taifa la Mungu ,
1. Unamaanisha Mungu ni Mungu wa wazayuni.
2. Wayazuni ni tofauti na wazayuni .
3. Mungu tangu lini akahitaji Taifa , kama ni Mungu wa ulimwengu wote, Taifa Moja Slsi ni sehemu ndogo.
4. Toa ushahidi kuwa Palestina ni Taifa la Mungu . Au kwa kauli yako Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…