Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Acha uongo we kado. Hilo umelitoa wapi?Hapo bado mpaka pawe magofu na ukiwa,Israel Taifa la Mungu,,jifanye uelewi kama wenzako,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo we kado. Hilo umelitoa wapi?Hapo bado mpaka pawe magofu na ukiwa,Israel Taifa la Mungu,,jifanye uelewi kama wenzako,
Teula kwa maana kuwa katika mataifa yote huko ndiko mwokozi Bwana Yesu mwokozi wa ulimwengu ndiko aliko zaliwa na wokovu ulitokea Israel kwa Yesu mwenyewe.Unakuta MTU na akili zake timamu anakuambia Israeli taifa teule ,How!
Kula ushibe kijana, kazi ni pevuHio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Hapa Hamas walihusika kwa 100%.Misfire,wenye akili wanafahamu.Ili ninyi mliozoea kulishwa Matango pori endeleeni kuamini🤔Hospitali, makanisani
Nani kakuambia hakuna pori kwani pori linauhisika na population.Hata kama cjafika lakini kama ukubwa wenyewe tu ni kama wilaya ya bagamoyo na population yake ni watu 2.3milioni kuna poli hapo??!
Si kweli wacheni uwongo nionyeshe majumba ya Ukraine aliyo vunja Mrusi labda US ndio kayavunja, Mrusi hawezi fanya ujinga huo.Urusi mwenyewe amevunja sana nyumba za raia wa Ukraine
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hakuweza ona ukuta alio jenga akaone missile ya Aljihad Al Islam eti imejam 😂Hapa Hamas walihusika kwa 100%.Misfire,wenye akili wanafahamu.Ili ninyi mliozoea kulishwa Matango pori endeleeni kuamini🤔
Ndio hapo sasa mkae mtulie zamu hii kichapo sio kile cha kawaida!! Hata mkiwaachia mateka wote bado tu haitawasaidia!! Na kilio cha samaki....Nani kakuambia hakuna pori kwani pori linauhisika na population.
Yani we akili zako kama waisrael walijenga ukuta wakaweka camera zinaelekea karibu kila jumba la wa Palestine pale Gaza wameshindwa ona ukuta unavunjwa.
Israel hakuweza ona Magari na pikipiki na silaha za Hamasi zikingia ndani ya Israel mtaweza ona silaha kwenye Majumba ya wa Palestine 😂
Afu mungu wa bibilia si alisema hakuna taifa linaweza mzuru muisrael alikuwa wapi Hamasi alipo ingia barracks nne nakuwauwa wanajeshi wote wengine walikimbilia mpaa chooni, haukuona au unajitoa akili 😂
Kama Israeli wameuwawa na wanaendelea kuuwawa sasa mnalalamika nini?Si ni vizuri vita iendelee ili waIsraeli ambao hamuwapendi waendelee kuuwawa ?Wazee wa makobazi na vipedo bhana 🤔Hakuweza ona ukuta alio jenga akaone missile ya Aljihad Al Islam eti imejam 😂
Israel kachezea kichapo kambi nne za jeshi hakuna aliye baki ila wale walio jificha chooni au chini ya meza za jikoni 😂
Zaidi ya askari 5000 wameuliwa kwa mdaa wa masaa mawili tu 😂
Kama Israeli wameuwawa na wanaendelea kuuwawa sasa mnalalamika nini?Wazee wa makobazi na vipedo
Amen, amen. Mungu ibariki Israel.Israeli ni taifa jingine toka zamani za kale. Taifa dogo chini ya Daudi walimuua Goliathi, na majeshi yakakimbia mbele yake. Na chini ya ufalme wa Daudi, wafilisti na mataifa mengine yalipigwa vibaya sana. Leo hii, chini ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu, Gaza wanapigwa vibaya sana na bado moto unaendelea hadi kipindi cha mpinga Kristo ambapo itapigwa vita ya mwisho itayomaliza ulimwengu huu.
" Kazi ya kusamehe magaidi ni ya MUNGU , kazi ya kuyapeleka magaidi Kwa Mungu ni ya Israel" waziri wa ulinzi wa Israel.
kenge huwa haelewi hata apigwe damu zimtoke kila pahala na hata hivyo bado hawatoelewa hawa.....itoshe tu kusema wakati israel akivamiwa wa mudi walifurahi sanaaaa allah takbir zilikuwa nyiiiiing sasa hivi malalamiko meengi oh palestina anaonewa na bado vita kamili haijaanza bado hii ni trailer tuMagaidi yanawahishwa kwa mungu wao ala yakapewe bikra,halafu wafuasi wao wanabaki kulialia humu.
Israeli ni taifa jingine toka zamani za kale. Taifa dogo chini ya Daudi walimuua Goliathi, na majeshi yakakimbia mbele yake. Na chini ya ufalme wa Daudi, wafilisti na mataifa mengine yalipigwa vibaya sana. Leo hii, chini ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu, Gaza wanapigwa vibaya sana na bado moto unaendelea hadi kipindi cha mpinga Kristo ambapo itapigwa vita ya mwisho itayomaliza ulimwengu huu.
Sasa hayo mahandaki yapo hewani?!! Vita ya urusi unaifananishaje na ya Gaza? Mrusi anajua kuwa wanajeshi wa ukraine wako wapi, sasa hao Hamas wanaonekana wako wapi?!! Eti taifa la Israel liko mwishoni hahaaaa!! Acha watoe kipondo,
Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.
Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza
Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.
Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi
View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p
Unaposema Israel ni Taifa la Mungu ,Hapo bado mpaka pawe magofu na ukiwa,Israel Taifa la Mungu,,jifanye uelewi kama wenzako,