Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Bado hamjasema hadi mtheme, piga magaidi hayo….
 
Hiyo Gaza imegeuka mji wa magofu na vifusi tu.

Wapalestina wanapitia kipindi kigumu mno kwa sasa.
 

Iron dome kumbe ni mbwembwe za bure.Hamas walitumia mfumo wa kupiga kama mrusi.Unarusha kama mvua.Nyengine juu na nyengine chini.Iron dome ikipiga mahesabu kudungua ya juu za chini zinapita.Usicheze na nguvu za Mungu wa kweli.
Safari hii wakubali tu kutoa ardhi za watu au wakubali wabakie walipo na wapalestina nao waishi kwa amani.Kinyume na hivyo Jordan,Syria na Misri wakiamua kurusha vikombora vyao basi hakuna iron dome wala patriot zitakazoweza kuzidungua zote.
 
Hawa si ndo unaosema
 
Hili ndilo jambo linalopaswa kuwa mjadala. Gaza walipewa huduma zote na Israel: chakula, maji na nishati. Wakajenga miji vizuri tu na ukawepo utulivu. Ajabu ni kwamba hawakuthamini hilo
Wanachopewa ni kidogo kuliko wanachoibiwa.Maji ni kutoka visima vyao walivyofukuzwa,
 
Kumbuka kulikuwa na utulivu kabisa bila ya vita vyovyote. Ghafla kuna watu 260 wakauawa wakiwa wanacheza disko, hawakuwa wanajeshi, ni raia wasio na silaha wala mafunzo. Watu wanasahau hiki kitu
 
Wayahudi wanalindwa na wamarekani ili waeneze ushoga kwenye miji mitakatifu



View: https://youtube.com/shorts/Mk_lwBOqhx8?si=tFjNEy0ShtVa5y8g

[22/10 16:19] :
View: https://youtu.be/fNLYhCy1dEo?si=o0Ey79ZVCEMmF1nh[22/10 16:20] :
View: https://youtu.be/-50F37qqLa8?si=kIphoik5iowvlbUw[22/10 16:21]
View: https://youtu.be/786ophxylWs?si=8fb0CMg0GGGGhG_X
 
Wanachopewa ni kidogo kuliko wanachoibiwa.Maji ni kutoka visima vyao walivyofukuzwa,
Kama maisha yalikuwa yanaendelea vizuri, kulikuwa kuna haja gani ya kuwaua wacheza disko 260?
 
Kumbuka kulikuwa na utulivu kabisa bila ya vita vyovyote. Ghafla kuna watu 260 wakauawa wakiwa wanacheza disko, hawakuwa wanajeshi, ni raia wasio na silaha wala mafunzo. Watu wanasahau hiki kitu
Watu wakifirana ,laana iliwajia hiyo
 
Tuliwaambia mapema huyo Israel hachokozwagi kihuni hamkusikia
" Kazi ya kusamehe magaidi ni ya MUNGU , kazi ya kuyapeleka magaidi Kwa Mungu ni ya Israel" waziri wa ulinzi wa Israel.
Aisee! Alisema hivyo?
 
Kwa hiyo laana imewaendea wacheza disko au wapalestina?

Hao unaosema wakicheza disko , unajua ulinzi wa Israeli mipakani? Na vifaa vilivyowekwa mipakani ? Ilichukuwa masaa7 ndio habari Za kushambuliwa zilifika Telaviv. Wakati hata dakika 5 nyingi kwa helicopter kuingia kuja kuwafurusha Hamas lakini vitendo vya Sodoma viliwapa laana.

[22/10 16:19]
View: https://youtu.be/fNLYhCy1dEo?si=o0Ey79ZVCEMmF1nh[22/10 16:20] :
View: https://youtu.be/-50F37qqLa8?si=kIphoik5iowvlbUw[22/10 16:21] :
View: https://youtu.be/786ophxylWs?si=8fb0CMg0GGGGhG_X
 
Nadhani hapo Iran inatafutwa kwa udi na uvumba! Inatengenezewa visa ili kusudi ijiingize mzima mzima.
 
Palestina under Hamas ni kansa ambayo lazima ifutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…