Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ni kama nilihisi tu urefu wa akili zako.Palestinians wanajikomboa na nini wewe?Umezaliwa lini wewe?Hebu tulia unywe maji kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama nilihisi tu urefu wa akili zako.Palestinians wanajikomboa na nini wewe?Umezaliwa lini wewe?Hebu tulia unywe maji kwanza.
Ni kama nilihisi tu urefu wa akili zako.Una hisi ila hauna uhakika.
Umefundishwa hisia bila muafaka.Ogelea mto Songwe haujatakata.Ni kama nilihisi tu urefu wa akili zako.
Ni kama nilihisi tu urefu wa akili zako.Umefundishwa hisia bila muafaka.Ogelea mto Songwe haujatakata.
Ngoja niku-ignore.Mwisho utanitukana.Ni kama nilihisi tu urefu wa akili zako.
Ni kama nilihisi tu urefu wa akili zako.Ngoja niku-ignore.Mwisho utanitukana.
Kwani kanisa linasemaje?Hiyo ya Hamas kuteka askari wa IDF ni habar kutoka masjid .
Na ni bibi wewe kweli Africa roho ngumu.. unlike western, watu wake hawaangalii dini inapotokea uonevu.Ndiyo mkikaa mnakunywa kahawa mnavyodanganyana?
Palestina mpaka hivi vita viishe itakuwa nyuma sana maana miundo mbinu yao imeharibiwa.Tatizo lenu nyie mnafikiria ushindi kupiga wale wanyonge wasio kuwa na hatia, mtabaki na huo ujinga maisha yenu kuwauwa watoto, wanawake na wazee na vijana ambao sio makamanda wa Hamasi ni ushindi wa kijinga tu.
Ushindi unaweka target naifuta Hamas na Itawala Gaza kwa nguvu, na okoa matekwa huo ndio ushindi aliutaka Netanyahu hakupata ushindi huo.
Ama sijui na wafungia chakula, maji na vunja hospita zao shule zao na majumba yao huo ushindi ni wavichaa tu 😄
Marekani kila siku anatoa pesa na silaha lakini haoni kama Israel wameweza kusambaratisha Hamas juzi wameingia Rafah wanasema Hamas wamejificha huko😀
Wewe usiwe punguani ebu jiulize mpaka leo inaenda mwezi wa 9 Jeshi la Israel hawajui mateka walipo na eneo la Gaza linazidiwa na Kigamboni kwa ukubwa. Juzi Hamas wamerusha makobora Tel Aviv.
tena kubwa zaid na huenda Israel ikafeli mokononi mwa Hamas , leo hii solution ni kuangamiza kabisa Hamas , kwasasa Washirika wa Israel wamedhoofishwa kabisa hapo middle east , so tukio lijalo huenda Israel asiwe na back up ya harakaIsrael ikikubali ceesefire siku moja hamas watafanya tukio la october 7 tena
hv ukienda Gaza unaeza kitambua kiwanja chako ?Sawa ngoja iendelee kunyesha mwezi wa 8 huu IDF wanaapa kuimaliza hamas
Wewe mbona akili huna? Utawaungaje mkono hao magaidi wakati unafahamu fika kwamba waliwauwa watanzania wenzako kinyama kabisa hao magaidi ngoja Israel iwaue tu hawana maana kabisa.Tatizo lenu nyie mnafikiria ushindi kupiga wale wanyonge wasio kuwa na hatia, mtabaki na huo ujinga maisha yenu kuwauwa watoto, wanawake na wazee na vijana ambao sio makamanda wa Hamasi ni ushindi wa kijinga tu.
Ushindi unaweka target naifuta Hamas na Itawala Gaza kwa nguvu, na okoa matekwa huo ndio ushindi aliutaka Netanyahu hakupata ushindi huo.
Ama sijui na wafungia chakula, maji na vunja hospita zao shule zao na majumba yao huo ushindi ni wavichaa tu 😄
Marekani kila siku anatoa pesa na silaha lakini haoni kama Israel wameweza kusambaratisha Hamas juzi wameingia Rafah wanasema Hamas wamejificha huko😀
Wewe usiwe punguani ebu jiulize mpaka leo inaenda mwezi wa 9 Jeshi la Israel hawajui mateka walipo na eneo la Gaza linazidiwa na Kigamboni kwa ukubwa. Juzi Hamas wamerusha makobora Tel Aviv.
Mzizi wa tatizo sio Hamas, alafu Hamas ni sawa na 'Ideology' tu huwezi kushinda kijeshi pekeeExactly, wale magaidi wa Hamas ni lazima waharibiwe kabisa ndio pawepo na ceasefire, kinyume na hapo Israel wajiandae siku yoyote kushambuliwa tena kwa kushtukiza kama ile October 7.
Sambaratisha kwanza hao magaidi wa Hamas wote ndio mawazo ya kuweka silaha chini yaanze kufanyiwa kazi. Magaidi wa Hamas ni tishio kwa raia wote wa ulimwengu kwani yanaua kila anaepita mbele yao, naunga mkono yaangamizwe.
Wataishinda tu kilio cha nini waambie hamas waendelee kupiganaHata wasipokubali unadhani ndiyo wataishinda Hamas?