Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

Tatizo lenu nyie mnafikiria ushindi kupiga wale wanyonge wasio kuwa na hatia, mtabaki na huo ujinga maisha yenu kuwauwa watoto, wanawake na wazee na vijana ambao sio makamanda wa Hamasi ni ushindi wa kijinga tu.

Ushindi unaweka target naifuta Hamas na Itawala Gaza kwa nguvu, na okoa matekwa huo ndio ushindi aliutaka Netanyahu hakupata ushindi huo.

Ama sijui na wafungia chakula, maji na vunja hospita zao shule zao na majumba yao huo ushindi ni wavichaa tu 😄

Marekani kila siku anatoa pesa na silaha lakini haoni kama Israel wameweza kusambaratisha Hamas juzi wameingia Rafah wanasema Hamas wamejificha huko😀

Wewe usiwe punguani ebu jiulize mpaka leo inaenda mwezi wa 9 Jeshi la Israel hawajui mateka walipo na eneo la Gaza linazidiwa na Kigamboni kwa ukubwa. Juzi Hamas wamerusha makobora Tel Aviv.
Palestina mpaka hivi vita viishe itakuwa nyuma sana maana miundo mbinu yao imeharibiwa.
Lengo kuu kweli halijafikiwa ila hata hiyo hasira yao dhidi ya miundo mbinu na hamasi ni pigo sana kwa palestina watakuwa na kaz kubwa ya kujiform upya
 
Israel ikikubali ceesefire siku moja hamas watafanya tukio la october 7 tena
tena kubwa zaid na huenda Israel ikafeli mokononi mwa Hamas , leo hii solution ni kuangamiza kabisa Hamas , kwasasa Washirika wa Israel wamedhoofishwa kabisa hapo middle east , so tukio lijalo huenda Israel asiwe na back up ya haraka
 
Tatizo lenu nyie mnafikiria ushindi kupiga wale wanyonge wasio kuwa na hatia, mtabaki na huo ujinga maisha yenu kuwauwa watoto, wanawake na wazee na vijana ambao sio makamanda wa Hamasi ni ushindi wa kijinga tu.

Ushindi unaweka target naifuta Hamas na Itawala Gaza kwa nguvu, na okoa matekwa huo ndio ushindi aliutaka Netanyahu hakupata ushindi huo.

Ama sijui na wafungia chakula, maji na vunja hospita zao shule zao na majumba yao huo ushindi ni wavichaa tu 😄

Marekani kila siku anatoa pesa na silaha lakini haoni kama Israel wameweza kusambaratisha Hamas juzi wameingia Rafah wanasema Hamas wamejificha huko😀

Wewe usiwe punguani ebu jiulize mpaka leo inaenda mwezi wa 9 Jeshi la Israel hawajui mateka walipo na eneo la Gaza linazidiwa na Kigamboni kwa ukubwa. Juzi Hamas wamerusha makobora Tel Aviv.
Wewe mbona akili huna? Utawaungaje mkono hao magaidi wakati unafahamu fika kwamba waliwauwa watanzania wenzako kinyama kabisa hao magaidi ngoja Israel iwaue tu hawana maana kabisa.

Hao waliouwawa sijui 36,000+ mbona kiduchu sana ilitakiwa wawe wamefika walau mara kumi ya hapo.
 
Exactly, wale magaidi wa Hamas ni lazima waharibiwe kabisa ndio pawepo na ceasefire, kinyume na hapo Israel wajiandae siku yoyote kushambuliwa tena kwa kushtukiza kama ile October 7.

Sambaratisha kwanza hao magaidi wa Hamas wote ndio mawazo ya kuweka silaha chini yaanze kufanyiwa kazi. Magaidi wa Hamas ni tishio kwa raia wote wa ulimwengu kwani yanaua kila anaepita mbele yao, naunga mkono yaangamizwe.
Mzizi wa tatizo sio Hamas, alafu Hamas ni sawa na 'Ideology' tu huwezi kushinda kijeshi pekee
 
Hata mimi nitachukia sana, Israel wanapaswa kuendelea kusafisha pale mahali, sambaratisha kisha achia vizazi vipya sio hawa wafia dini brazaj
 
Back
Top Bottom