Idadi ya waislamu ndani ya Israel inazidi idadi wakristo mbali sana ila kwa uelewa wako mdogo itakuchanganyaHaya mambo yamenistua sana, jwanini Israel wanafanya hivyo?
Ulikuwa unayajuwa haya kabla ya kuyaona hapa JF?
Kwani myahudi na Muisilaer wanafanana?Wayahudi hawajawahi mkubali Yesu Kristo...
Ujiheshimu umri umeenda sasaSi ndiyo vipenzi "vyetu" hao?
Nafahamu ni ngumu sana hiyo habari, si kwako tu. Kumbuka Yesu alayhi salaam ni mtume kwa Waislaam pia, tukienda kuzuru Quds lazima twende Betlehem kufanya ziara alipopozaliwa Mtume wetu, Yesu.Huyo mwenyewe anayeelezea hiyo habari kavaa km mganga mpiga ramli chonganishi. No wonder nchi hii ukisikia mganga wa kienyeji mahiri ujue anatokea sehemu yenye idadi kubwa ya waislam iwe Ujiji, Sumbawanga, Uyui n.k
Na wewe unakubaliana kuwa Wana wa Israeli ni wabantu kuanzia Kwa Wahaya, wachaga, watu wa Arusha, waha, wamanyema mpaka congo?Hawao Ashkenazi, wayahudi feki, wamepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Wametuchokoza Waislam na Wakristo. Maana Yesu Alayhi salaam ni Mtume kwa Waislaam.
Hilo mbona tunalifahamu sana. Unafahamu kuwa Israel imeanzishwa Palestina juzi juzi, ardhi ya Waislaam wengi.Idadi ya waislamu ndani ya Israel inazidi idadi wakristo mbali sana ila kwa uelewa wako mdogo itakuchanganya
USSR
Unajua kuwa mahujaji wa Yesu huliingizia taifa pesa mdefu?Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka...
Bibi FaizaFoxy uione hiiSio habari ya kweli,
View attachment 2568109
Tweet hii hapa kutoka kwa waziri mkuu wa Israel. Acha kupotosha.
Pepo lingine hili hapaOne of the smartest move ndio hii
Safi sana idadi ya Miungu inazidi kupunguzwa, Mungu yesu hana chake huko Israel saizi amebakia mshua wake tu naye yupo kwenye radar anaundiwa tume...
Nafahanu kuwa kizazi cha Usrael cha asili kipo Ethiopia mpaka leo hii, kama walilowea mpaka huko ulipopataja siyo ajabu, kwa sababu asili ya wana wa Israel hawana nchi maalum.Na wewe unakubaliana kuwa Wana wa Israeli ni wabantu kuanzia Kwa Wahaya, wachaga, watu wa Arusha, waha, wamanyema mpaka congo?
Wanajiita Ben Congo kama sikosei
Yeah ndo inavosemekana, wahaya, wachagga, wabunyoro, wameru, watu wa manyara wale(sio wote), waha mpaka CONGO DRC , wale ni uzao wa Ibrahimu ukijumlisha na wazulu na xhosaNafahanu kuwa kizazi cha Usrael cha asili kipo Ethiopia mpaka leo hii, kama walilowea mpaka huko ulipopataja siyo ajabu, kwa sababu asili ya wana wa Israel hawana nchi naalum.
Wale wa Ethiopia ni WA kabila la Yuda ila Hawa wengine ni makabila 11 yaliyobakia......Nafahanu kuwa kizazi cha Usrael cha asili kipo Ethiopia mpaka leo hii, kama walilowea mpaka huko ulipopataja siyo ajabu, kwa sababu asili ya wana wa Israel hawana nchi naalum.
Si ndiyo vipenzi "vyetu" hao?Ni kipi nilichokuvunjia heshima? Unaacha kupambana na hoja unanirukia mimi?
Mimi ni mjumbe tu niliyeleta hii habari, mjumbe hauwawi.
Tumeshaijibu hiyo, pitia mjadala. Hapo Netanyahu anapiga siasa tu, mswada upo knesset.Bibi FaizaFoxy uione hii