Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Haya mambo yamenistua sana, jwanini Israel wanafanya hivyo?

Ulikuwa unayajuwa haya kabla ya kuyaona hapa JF?
Idadi ya waislamu ndani ya Israel inazidi idadi wakristo mbali sana ila kwa uelewa wako mdogo itakuchanganya

USSR
 
Huyo mwenyewe anayeelezea hiyo habari kavaa km mganga mpiga ramli chonganishi. No wonder nchi hii ukisikia mganga wa kienyeji mahiri ujue anatokea sehemu yenye idadi kubwa ya waislam iwe Ujiji, Sumbawanga, Uyui n.k
Nafahamu ni ngumu sana hiyo habari, si kwako tu. Kumbuka Yesu alayhi salaam ni mtume kwa Waislaam pia, tukienda kuzuru Quds lazima twende Betlehem kufanya ziara alipopozaliwa Mtume wetu, Yesu.

Soma basi hiki chanzo kingine kutoka jikoni kwenu: Proposed Bill to criminalise speaking about Jesus in Israel is just ‘one guys axe to grind’ - Premier Christian News | Headlines, Breaking News, Comment & Analysis
 
Hawao Ashkenazi, wayahudi feki, wamepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Wametuchokoza Waislam na Wakristo. Maana Yesu Alayhi salaam ni Mtume kwa Waislaam.
Na wewe unakubaliana kuwa Wana wa Israeli ni wabantu kuanzia Kwa Wahaya, wachaga, watu wa Arusha, waha, wamanyema mpaka congo?

Wanajiita Ben Congo kama sikosei
 
Idadi ya waislamu ndani ya Israel inazidi idadi wakristo mbali sana ila kwa uelewa wako mdogo itakuchanganya

USSR
Hilo mbona tunalifahamu sana. Unafahamu kuwa Israel imeanzishwa Palestina juzi juzi, ardhi ya Waislaam wengi.

Mada hapa si Waislam wengi wala kidogo, soma kichwa cha habari.
 
Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka...
Unajua kuwa mahujaji wa Yesu huliingizia taifa pesa mdefu?

Mswada huo ukipita niite nguruwe...
 
One of the smartest move ndio hii

Safi sana idadi ya Miungu inazidi kupunguzwa, Mungu yesu hana chake huko Israel saizi amebakia mshua wake tu naye yupo kwenye radar anaundiwa tume...
Pepo lingine hili hapa
 
Na wewe unakubaliana kuwa Wana wa Israeli ni wabantu kuanzia Kwa Wahaya, wachaga, watu wa Arusha, waha, wamanyema mpaka congo?
Wanajiita Ben Congo kama sikosei
Nafahanu kuwa kizazi cha Usrael cha asili kipo Ethiopia mpaka leo hii, kama walilowea mpaka huko ulipopataja siyo ajabu, kwa sababu asili ya wana wa Israel hawana nchi maalum.
 
Nafahanu kuwa kizazi cha Usrael cha asili kipo Ethiopia mpaka leo hii, kama walilowea mpaka huko ulipopataja siyo ajabu, kwa sababu asili ya wana wa Israel hawana nchi naalum.
Yeah ndo inavosemekana, wahaya, wachagga, wabunyoro, wameru, watu wa manyara wale(sio wote), waha mpaka CONGO DRC , wale ni uzao wa Ibrahimu ukijumlisha na wazulu na xhosa
 
Nafahanu kuwa kizazi cha Usrael cha asili kipo Ethiopia mpaka leo hii, kama walilowea mpaka huko ulipopataja siyo ajabu, kwa sababu asili ya wana wa Israel hawana nchi naalum.
Wale wa Ethiopia ni WA kabila la Yuda ila Hawa wengine ni makabila 11 yaliyobakia......
 
Back
Top Bottom