Memtata
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 587
- 1,863
Kwa nyongeza; zaidi ya 90% ya Wakristo ndani ya Israel ni Waarabu/Wapalestina 😛Idadi ya waislamu ndani ya Israel inazidi idadi wakristo mbali sana ila kwa uelewa wako mdogo itakuchanganya
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nyongeza; zaidi ya 90% ya Wakristo ndani ya Israel ni Waarabu/Wapalestina 😛Idadi ya waislamu ndani ya Israel inazidi idadi wakristo mbali sana ila kwa uelewa wako mdogo itakuchanganya
USSR
Ijumaa ni mwendo wa kutangaza vivutio vya utalii vya Saudi Arabia,Jumamosi na Jumapili ni zamu ya vivutio vya utalii vya Israel, Palestine, Jordan, Italy, Greek, Turkey, Macedonia tena kwa kutoa kiingilio kiitwacho sadaka!Hakika mkuu,
Waarabu na wazungu wameharibu sana fikra za mtu mweusi. Afadhali kwa jamii za watu wa 🇨🇳, Japan nk wao huu upuuzi hawautilii manani.
Yohana 5:37Hii comment inaonyesha humjui kabisa Mungu ni nani?
"Na tumfanye mtu kwa mfano wetu" ..ungeelewa maana ya hii sentensi ungeelewa Mungu ni Nani na mtu Ni nani. 'Mtu' siyo binadamu ni mtu.
"Na tumfanye mtu kwa mfano wetu"